Anatununiaa kufanya makosa mbali mbaliYa the guy is smart and down to earth sijui wamepishana wapi.
Acha wawekane ndani ingependeza zaidi kwa masaa 72 badala ya hayo 24 kiduchu hivyoMkuu wa Wilaya ya Mwanga, Aron Mbogho ameamuru kuwekwa mahabusu kwa saa 24, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya hiyo (DED), Zefrin Lubuva akimtuhumu kufanya makosa mbalimbali.
Mbali na Lubuva, adhabu hiyo imemkumba pia kaimu mtendaji wa Mamlaka ya Mji Mdogo wa Mwanga, Justine Valentino.
Kuhoji nini?wapinzani wakiwekwa ndani na ma-Dc nani anahoji?Duh, kweli JF ya siku hizi imebadilika. Nimepitia kwa lengo la kupata angalau thread moja yenye kuelezea mazingira ya tukio lakini sijapata. Ila zimejaa thread za kushangilia kugombana bila kujua undani wa suala lenyewe!
Yaani ni JF ya zama za kushangilia tu bila kujua wala kuhoji undani!
Futi 9 mkuuu,aaaaaarh ni 3 mkuu...
Mkuu wa Wilaya ya Mwanga, Aron Mbogho ameamuru kuwekwa mahabusu kwa saa 24, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya hiyo (DED), Zefrin Lubuva akimtuhumu kufanya makosa mbalimbali.
Mbali na Lubuva, adhabu hiyo imemkumba pia kaimu mtendaji wa Mamlaka ya Mji Mdogo wa Mwanga, Justine Valentino.
Mbona Walikatazwa Haya Mambo
Kuna kitu nlitaka ku andika khsu majaji hao hpa!laana huwa zinahamia kwa watoto. Lubuva yoyote nchi hii atakuwa mtu wa kudharauliwa.
hahah waache wauane.
wakimalizana na sisi, watageukiana wao kwa wao.
Mwanga huko!!!!
Murungu!, vathitukondie wilaya yetu!!!
hahah waache wauane.
wakimalizana na sisi, watageukiana wao kwa wao.
Atasema hakuona.Mbona Walikatazwa Haya Mambo