DC Mwanga amtupa mahabasu DED saa 24

DC Mwanga amtupa mahabasu DED saa 24

Mkuu wa Wilaya ya Mwanga, Aron Mbogho ameamuru kuwekwa mahabusu kwa saa 24, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya hiyo (DED), Zefrin Lubuva akimtuhumu kufanya makosa mbalimbali.

Mbali na Lubuva, adhabu hiyo imemkumba pia kaimu mtendaji wa Mamlaka ya Mji Mdogo wa Mwanga, Justine Valentino.
Wacha yakulane yenyewe
 
Dohhhh!huko nliogopa Kufika mkuu ila najua humu kuna watu Wako vzuri kwenye kupembenua mambo
Kutoka mwnykt/s/mitaa mpk DED siyo mchzo

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
unatakiwa ujue alikuwa mwenyekiti wa mtaa wa Aina gani sio mitaa ya kiwira kule tukuyu au masuguru kule korogwe au namahechegwe Mbinga

ni mwenye kiti wa mtaa wa ostabay yalipo makao makuu ya idara pendwa pia zilipo safe house kibao za idara pendwa na watu wazito wa nchi Hii kuliko sehemu yoyote ya jamhuri kwahiyo anajuana na vigogo kibao kumbuka mageti ya nyumba za obay hayapigwi hoodiii hodiiii ni kengele za umeme na maccctv
 
Hii ndio #CCMMPYA #TANZANIAMPYA #MATOKEOCHANYA #MATAGA

Mambo ni mto Kweli kweli
 
Mkuu wa Wilaya ya Mwanga, Aron Mbogho ameamuru kuwekwa mahabusu kwa saa 24, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya hiyo (DED), Zefrin Lubuva akimtuhumu kufanya makosa mbalimbali.

Mbali na Lubuva, adhabu hiyo imemkumba pia kaimu mtendaji wa Mamlaka ya Mji Mdogo wa Mwanga, Justine Valentino.
hii awamu bana dah...viongozi hawaheshimu wananchi na wao pia hawaheshimiani!
 
unatakiwa ujue alikuwa mwenyekiti wa mtaa wa Aina gani sio mitaa ya kiwira kule tukuyu au masuguru kule korogwe au namahechegwe Mbinga

ni mwenye kiti wa mtaa wa ostabay yalipo makao makuu ya idara pendwa pia zilipo safe house kibao za idara pendwa na watu wazito wa nchi Hii kuliko sehemu yoyote ya jamhuri kwahiyo anajuana na vigogo kibao kumbuka mageti ya nyumba za obay hayapigwi hoodiii hodiiii ni kengele za umeme na maccctv
Kwahiyo ndio sifa ya kuwa DED?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hawa maded wasenge sana acha washikishwe ukuta na wenyeviti wa kamati za ulinzi na usalama.
 
Back
Top Bottom