Marvelous King
JF-Expert Member
- Jan 7, 2019
- 662
- 1,293
Wakikujibu utaniitaHuyo DED ni mtoto wa Jaji Mstaaf Damian Lubuva aliyekuwa Mwenyekiti wa NEC
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakikujibu utaniitaHuyo DED ni mtoto wa Jaji Mstaaf Damian Lubuva aliyekuwa Mwenyekiti wa NEC
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes ni mtoto wa jaji Lubuva
Maarufu zaidi Kama Kimolo
DC Sister Do...!!!!Ni Bora uwe Chini ya DC jokate angalao utapata usingizi.
hili jina LUBUVA dahh nikikumbukaMkuu wa Wilaya ya Mwanga, Aron Mbogho ameamuru kuwekwa mahabusu kwa saa 24, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya hiyo (DED), Zefrin Lubuva akimtuhumu kufanya makosa mbalimbali.
Mbali na Lubuva, adhabu hiyo imemkumba pia kaimu mtendaji wa Mamlaka ya Mji Mdogo wa Mwanga, Justine Valentino.
Tusiwadharau Wasanii ni Viongozi wazuri Ronald Reagan ni mfano mzuri.
Tusiwadharau Wasanii ni Viongozi wazuri Ronald Reagan ni mfano mzuri
Ya the guy is smart and down to earth sijui wamepishana wapi.