DC Mrisho Gambo apandishwa kizimbani

Hata akihukumiwa kukaa jela saa 3 Udhalilishaji utakuwa umeshindwa na nguvu ya haki,demokrasia itaanza kuota ndani ya vichwa vya viongozi wote wanaofikiri kwa masaburi kama Gambo, Mnali n.k

Alafu huyu jamaa kwenye red kwao kule Nachingwea wamempa uongozi wa ccm wilaya kama mwenyekiti. CCM imeoza! tukiwambia watu hawaelewi! ndio sababu wanaweza kumpiga mtu kwa bomu kisha usishangae kesho yule kijana askari mtuhumiwa ukakuta ni ofisa wa polisi. Nchi ya wajinga watawala wajinga na watawaliwa wajinga pia.
 
Huyu DC sio mzima kiakili sio IT! et watu wa IT hatuna HEKIMA ya uongozi japo mnatumia mifumo ya IT ku present mawazo??.
 
kwenye kambi ya Ritzmwizione
 
Huyo mama hajatukanwa wala nini ila ni deal la viongozi wa Korogwe baada ya kuona Mrisho anawabania ulaji wao waliouzoea manake njaa imekuwa kali na Huyo mama hana hata ushaidi kuwa Mrisho alimtukana labda akauokoteze na anunue mashahidi na kama atafanya hivyo basi uwanasheria wake ni ule aliokuwa anausema T.Lissu

Haieleweki wala kukaa akilini ati unamsingizia mtu kakutukana then unapeleka kesi mahakamani ulopwe million 90 then unaongeza 6m Njaa hii namshauri Mrisho Gambo baada ya kesi yake kushinda amgeuzie kibao na kumdai huyo mwanasheria twice ili akaendelee kuuza Chupi ili alipe fain ya kusingizia mtu...
 
Last edited by a moderator:
tatizo la utandawazi kuleta simu zenye internet, kila mtu mjuaji wa kujibu hata mada asiyoijua.

Aisee umekosea kwelikweli..........simu yangu haina internet......naona hata sheria za Tanzania huzijui pia......anyway pole kwa maumivu
 

Kazi ya mku wa wilaya ni nini! Tungeanzia hapo labda. Na tanzania Everyone can do anything. Kama JK anaongoza hii nini kisichowezekana? hata wewe Mkuu unaweza kuwa Rais. Urais sasa hivi ni RAHISI sana kama JK anavyonfanya na kina Zomba wanavyotaka kutuaminisha
 

Mkuu wa Wilaya Sio kukaa OFISINI na kupigwa na FENI na kusubiri MIRADI ya BURE ya kupewa kama VILE mfano Kuuza Dawa feki za Ukimwi na kujishibisha bila kujali Wananchi...

Mkuu wa Wilaya ni CHEO kinachotakiwa kugombewa kama UBUNGE kwa kuendesha WILAYA au MKOA na BAJETI yake kuangalia KODI na kukusanya; kutumia KODI walizopangiwa; kutengeneza barabara; kutembelea VIJIJINI; kuhakikisha VIJIJI vina MAJI SAFI SHULE BORA;

Ni kama Rais; Uumpe WILAYA; lakini SIO RAFIKI uumpe OFISI hana UPENDO na hiyo kazi ana UPENDO na kuchuma kinachotokana na hicho cheo; huyo SIO POLITICIAN ni MLAJI; MLAFI; FISADI... Sasa hata ukitaka kutoa kazi za MKUU WA WILAYA kwasababu ni PRESIDENTIAL APPOINTEE; Hakuna Majukumu... ni kufunga na kufungua WARSHA... Kuhakikisha Suti imepigwa pasi na viatu rangi haichafuki
 

Kwenye Bluu ndo inavyotakiwa iwe kwa sasa lakini sivyo ilivyo. By the way mm sidhani hata kama tunawahitaji in first place they are not needed at all. Ni wachumia tumbo tu na makada wa kuipigia chapuo CCM

Kwenye Red sijaelewa unataka kumaanisha nn kwa kweli.
 

Mkuu unataka kutuaminisha kuwa kuna uhusiano kati ya kusomea computer science na matusi?
 
Mkuu unataka kutuaminisha kuwa kuna uhusiano kati ya kusomea computer science na matusi?

ubovu wa kuteuana; wengine sio Career Politicians ni Career Walaji... kwenda huko ni kutafuta kula!!!
 
ubovu wa kuteuana; wengine sio Career Politicians ni Career Walaji... kwenda huko ni kutafuta kula!!!
Mpaka hapa sijamwona Ritz,Zomba,Tume ya Katiba, Thatha and the like! Nadhani aibu hii ya Gambo (Mrisho) imekuwa kubwa kwao!
 
ahamie wapi? akae hukohuko! wakuu wa wilaya wa l.....i......z...1

Unaambiwa alitoa amri kwa afisa elimu kuwa walimu wote walishiriki mgomo ktk sakata lile la mgomo hakuna kusimamia mitihani ya form 4. Kwenye wilaya yake hakuna mwalimu aliyeshiriki mgomo aliyesimamia mtihani, wamechukua hadi waratibu elimu kufanya kazi hiyo, mradi tu mwalimu aliyegoma sisimamie simply bcos mgomo ulifanikiwa kwa asilimia kubwa, so analipa kisasi. Na alianza na sensa.
 

Tena kila kikao anachofanya hata km wahusika hawapo attached na hiyo ishu lazima aiseme tena kwa kujitapa kuwa atamuonyesha huyo mwanasheria,
 
Itabidi pia aithibitishie mahakama kuwa degree yake si ya chupi. Na Dc itabidi athibitishie mahakama kuwa degree ya mtuhumiwa wake ni ya chupi.

Inabidi waalimu wa sheria huko chuo kikuu cha dar alikosomea nao wawe consulted kuthibisha aau kukanusha lol
 
Watanzania sijui tuko je, kwa nini mnahukumu Kabla ya mahakama? Na huyo mwanasheria asipothibitisha madai yake tuseme anamaanisha alitaka kumvulia c....p DC au?
 
Aende jela miaka 30 maana kambaka binti wa watu kwa tusi kama hilo
 

Kama wewe sio mrisho gamba mwenyewe utakuwa kuwadi wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…