kinjumbi one
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 1,696
- 2,158
Ampeleke wapi?Waonevu wakubwa, kwa nini Mungu asimchukue Happy?
Ampeleke wapi?Waonevu wakubwa, kwa nini Mungu asimchukue Happy?
Atajua yeyeAmpeleke wapi?
Kumbe alipata 98% kwenye uchaguzi?Mdee ni halali yake kushikiliwa na jeshi la Polisi, si vizuri hata kidogo kumdhihaki Mkuu wa nchi na kudhihaki kazi nzuri inayofanywa na Rais tena Watanzania asimilia 98 wanamkubali Rais, Mdee ikiwezekana Afikishwe mahakamani na kufungwa hata miaka 7.
Polisi wengi wanekerwa na utawala huu kuwalazimisha wawaonee watu wanafanya tu lakini mioyoni mwao wanajisikia vibaya kwani wanajua kuwa ni Udikteta umeshika kasiUnajua kuna mambo madogo madogo labda ndio yanafanya watu wafurahie mauwaji ya polisi.
hahahahAtajua yeye
Poahahahah
mimi tena ni mkwepa kodi mkuu??kweli wewe ni mkwepa kodi duh
Sent from my ZUK Z2131 using JamiiForums mobile app
Siku yakikukuta utajua tu DUNIA inazungukanimecheka hapo taarifa iliposema kua ameanza kula,....chadema kwa maigizo; mi nilifikiri yuko 'serious' na suala la kutokula!
Waonevu wakubwa, kwa nini Mungu asimchukue Happy?
Namchukia kupita kiasiMkuu;
Huyo Mungu amchukue kumpeleka wapi Happy?? Segerea au Keko?? Usijali, hayo nayo ndiyo miongoni mwa majukumu ya kiongozi na Halima anayajua hayo ndo maana halalamiki. Muombee uzima tu na Happy azidi kufurahia nafasi yake
Watanzania watu waajabu sana badala ya kulaani vitendo vya huyo anayejiona ndugu yake yesu kunyima haki ya mtoto wa kike kupata elimu mna mdhihaki halima,vichwa vya watanzania vinamatatizo.nimecheka hapo taarifa iliposema kua ameanza kula,....chadema kwa maigizo; mi nilifikiri yuko 'serious' na suala la kutokula!
Kwa vile kaanza kula atakuwa hai 2020.wanazidi kumpa sifa uchaguzi ukifanyika hata kama hatofanya kampeni lazima atashinda tu,tena kwa kura nyingi sana
Hatongozeki ndo tatizo.Hapi halima ni kijana mwenzako. Ungeweze kufanya maongezi nae. Sio polisi. Angalia sasa
Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
Yaa kweliii. Ujasiri wa kutoa matusi kwa kiongozi wa nchi. NimekuelewaHalima ni kiongozi jasiri na mwenye uthubutu wa kufanya jambo na kusimamia msimamo wake.
NITAMPIGIA kura Halima Mdee 2020.