DC Kinondoni, Ally Hapi ajivua sakata la Mdee

DC Kinondoni, Ally Hapi ajivua sakata la Mdee

Mama'ko kuvuliwa nguo akatembezwa barabarani siyo tusi?

Lofa ndiyo tusi?

Kwa akili hizo, Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda.
Anasema siku moja huyu raisi atatuambia tutembee uchi. Inategemea imaarufu vipi

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Huyu DC aburuzwe mahakamani haraka sana!! Tundu Lissu, Kibatala, Professor Safari unganeni katika hili! hawa wakutumwa wasiotumia ubongo watatumaliza! Ona sasa polisi wanatupiana mpira ovyo

kibatala mlevi tu
 
Huyu nabii anazid kutuhalibia hawa vijana.. Maanake wamekuwa wana ki abudu kitu ambacho haitakiwi kabisa kuabudiwa kwa kweli.. Badala ya kufanya kazi za taifa.. Wao kazi yao mapambio tu plus nizamu za uwongo kila kukicha..wamejawa na hofu mnoo.. Wanashindwa hata kuzingatia umuhimu wao katika jamii.. Bali fitna kwenda mbele.... Is just waiting to be seeing!

Sent from my C6833 using JamiiForums mobile app
 
Huu ni uvujanji wa sheria. Unasikitisha na Unapaka tope uongozi wa Rais Magufuli.
 
Umenikumbusha mchango wa Simbachawene pale mjengoni! Lakini Halima atakuwa amenyooka.
Watoto wengi walio jiunga JF 2017 hawatumii akili. For your information huyo Halima umaarufu wake umeongezeka mara dufu. Huyo anae jiona Mungu mtu ikifika 2020 atajuta ! Maana uchumi utakuwa umesambaratika na ninyi wajinga hiyo 7000 hamtaipata!
 
miezi minne, akirudi mtaani kimya kabisa

wapi Lissu na yale maandamano??

tumieni akili zaidi kupambana na Magufuli
 
Natabiri mkuu wa kaya kung'ang'ania madarakani baada ya awamu yake kwisha kwa sababu ana bidii ya kujijengea maadui kila uchao.

Sent from my HUAWEI P8max using JamiiForums mobile app
 
Bashite na roho mbaya aliojaliwa na muumba wake ndiye anaefanya hyo fitna kushikiliwa kwa Mh.Mdee.Ni vema kujibu hoja kwa hoja si hoja kwa pingu inaonesha jinsi gani ccm mmepoteza muelekeo

Sent from my S40 using JamiiForums mobile app
 
Mimi naona hakuna haja ya upinzani Tanzania ni bora kibaki chama kimoja maana hakuna haja ya kukandamiza upinzani kisa wanasema ukweli
Namshauri Mwenyekiti Mbowe ajiondoe na wabunge wake wote nchi za mangaribi zenye mataifa makubwa waje wawe ndo wapinzani
Mbunge aliechaguliwa kwa kura ni mtu mkubwa sana kumfananisha na huyo alietuliwa nchi za Afrika upinzani bado sana no need have Opposition parts
Labda baada ya miaka 50 ijayo


Sent from my GT-I9300 using JamiiForums mobile app

Huu ndio ukweli wenyewe. Tena huwa najiuliza sana; 2020 panapo majaliwa akina Mbowe watawaeleza nini Watanzania kwa "kushindwa vibaya uchaguzi" huku CCM "wakishinda kwa kishindo" kisichopungua 99%? Kwani nina uhakika ndicho kitakachotokea

Kwa upande mwingine, sitegemei CCM na serikali yao kuwa wajinga kiasi cha kuachia CHADEMA ipotee katika anga za siasa. Wanaihitaji sana ili kupata uhalali wa kisiasa nchini na duniani. Ni mtu mjinga ndani ya CCM na serikalini ndiye asiyejua kuwa CHADEMA imeshikilia msingi wa upinzani makini Tanzania.

Kitakachotokea Mbowe, viongozi na wabunge wote wa CHADEMA wakiamua kujiondoa kwa nia ya kuvunja chama ni kwamba vyombo mahsusi vya dola vitawahisha vibaraka ambao, kwa maelekezo maalumu, watatangaza "kuikomboa" CHADEMA toka mikononi kwa mafisadi (Mbowe, Lowassa, Lissu, n.k.) na kuirejesha kwenye uasilia. Watamuomba Dr. Slaa arejee na wale wote wasiokubali kuendeshwa na Mbowe.

Tatizo kubwa la serikali ndani ya CHADEMA ni Mbowe na visiki vingine visivyo nunulika kama Lissu, Lema, Sugu, Mdee, Mnyika, n.k. Wakitoka hao, utasikia CHADEMA ikimwagiwa sifa kemkem kama "chama makini cha upinzani". Pengine ni vyema CHADEMA hii itoweke katika anga za siasa ili akili iwarejee Watanzania.
 
Back
Top Bottom