mr mkiki
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 5,721
- 11,925
Nguvu nyingi kwa mtu huru,,mchango wa simbachawene uwe na kibiti basi?Umenikumbusha mchango wa Simbachawene pale mjengoni! Lakini Halima atakuwa amenyooka.
Nguvu nyingi kwa mtu huru,,mchango wa simbachawene uwe na kibiti basi?Umenikumbusha mchango wa Simbachawene pale mjengoni! Lakini Halima atakuwa amenyooka.
Sahv polisi,mahakama,bunge zote wanaskia magizo tka juu ....sjui tfanyeje sasa maana dahKwa sasa sasa si mahakama wala polisi ambao wanafanya kazi zao kwa Uhuru bali ni shinikizo na Amri toka juu tu, kuna baadhi ya polisi hawapendi uonevu na wanachukia kuwajengea chuki dhidi ya wananchi.
Kuna mmoja mshahara wake laki tano ananitambia watawaongezee mpka 1 miln sijui kama itakuwa kweli
Wengine tunashutumu kukamatwa na kushikiliwa kwake, ila kukaa na njaa babu hapo tulimuona zuzu! Njaa mwanaharamu aise! Kwanza ukila ndio wapata nguvu hata kufikiri utapambana vipi na wanaokutuhumu, ila yadhihirisha hata wabunge pamoja na kukataa futari bado wanasikia njaa kama sisi! Hahahaha..🙂😉nimecheka hapo taarifa iliposema kua ameanza kula,....chadema kwa maigizo; mi nilifikiri yuko 'serious' na suala la kutokula!
Bashite na baba Jesca hawana huruma kabsa roho zao ni kama za Bokassa, iddy Amini, sadam Husein, chiluba wanatamani kusikia chadema, matajiri na wale wenye visasi nao wote wamekufa kabsa.