Marry Ngowi
JF-Expert Member
- Sep 6, 2013
- 262
- 293
Gambo ana hoja kubwa jamaa anaishi kwa kuangalia reality , watu maskini waishi kimaskini huyu ni Genius!! ukiangalia kwa makini utaona logic ya bajaj na bodaboda kubeba watu wanne versus usalama wao!!
ameangalia watu wengi ni masikini wakichanga nauli wanapata usafiri badala ya kutembea kwa miguu umbali mrefu kupoteza muda ambao ni mali na pia vyombo vya usafiri ni vichache! watu wanne bodaboda moja na wote wavae helmet mwendo mwisho spidi 30 kwangu poa tu na barabara ziwekwe sehemu maalum ya kupita boda boda na bajajs
sisi ni maskini tuishi kimaskini
hoja yake ni sahihi for me!! for me Gambo is very creative person Mkuu wa nchi amchukue kundini!