DC Kigamboni: Serikali ya Tanzania haina askari wazembe kiasi cha kufyatua risasi zaidi ya 30 halafu wakashindwa kumuuwa Lissu

2018 mwezi kama huu nilikuwa nawafundisha uraia std VI kuhusu aina za wabunge wa bunge LA JMT nikawaambia hata mwanasheria wa serikali ni miongoni KWA aina za wabunge.
Mtoto mmoja akauliza mwanasheria wa serikali wa sasa ni nani? Kabla cjatoa jibu wengine wakasema niTundu Lisu mwingine akasema tena amepigwa risasi na watu waliotumwa na jiwe KWA sasa hayuko Tanzania yuko Hospital.Nikawaza moyoni hata watoto wanajua aliyefanya uanimolu huu.
Sasa wanaokanisha kwamba serikali haihusiki wanajisumbua na kuhangaisha ubongo wao ila haya shetani anawashangaa KWA kujitoa ufahami kiasi hiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Malaya nao wanaibuka Tundu amewatundulisha kila Mtu anasema magufuli ni failure kwa kila kitu hata kumuachia makonda aongoze squad za mauaji wakati hakusomea ni udhaifu kazi za watu hizo wanadandia
 
Habari wanaJF,

Naona juhudi za kukanusha zinaendelea leo ameibuka Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni

DC Sarah Msafiri amekanusha madai ya kwamba serikali ndiyo ilihusika na tukio la kushambuliwa kwa Tundu Lissu

Amedai kuwa Serikali ya Tanzania haina Askari wazembe kiasi cha kufyatua risasi zaidi ya 30 halafu wakashindwa kumuuwa.

Chanzo: Dar Mpya
basi SOPHIA yuko Mungu mbingni mwenye NGUVU na MAMLAKA juu ya yote yeye ajuaye na aamuae apendayo,humlida yeyete kwa kadri ya mipango na mapenzi yake,kumbuka kisa cha Daniel mwisrael alikuwa uhamishoni huko Babel,ona jina NEBKADNEZA [mf.jiwe] alivyolewa madaraka mpaka akatamani mamlaka ya Mungu nae akajichongea sanamu ili kila mwanadamu chin ya mamlaka yake amwabudu kupitia sanam hilo,wana wa israel wane wakaktaa kutii maagizo batili hayo,akina sophia [maliwali=wakuu wa wilaya] wakawakamata na wakatupa kwenye tanuru la moto lakini kwa uweza wake hakuungua.
 
Habari wanaJF,

Naona juhudi za kukanusha zinaendelea leo ameibuka Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni

DC Sarah Msafiri amekanusha madai ya kwamba serikali ndiyo ilihusika na tukio la kushambuliwa kwa Tundu Lissu

Amedai kuwa Serikali ya Tanzania haina Askari wazembe kiasi cha kufyatua risasi zaidi ya 30 halafu wakashindwa kumuuwa.

Chanzo: Dar Mpya
Kuna watu wana Mungu ndio maana hao askari wa muovu Jiwe hawakufanikiwa.
Serikali itaachaje kuhusika wakati Jiwe ndio aliamuru ulinzi uondolewe eneo la tukio??
Serikali itaachaje kuhusika wakati Jiwe ndio alizuia ripoti ya bunge kuhusiana na lile tukio isisomwe bungeni??
Serkali itaachaje kuhusika wakati Jiwe ndio alizuia malipo yake ya matibabu??
 
Mbona Kuna viongozi wazembe wanaohonga vyeo kwa mbunye tu. Kweli nyegezi ni mbaya Sana zinamsumbua huyu
 
hii hoja haina mantiki yoyote ina maana kama hizo Risasi 30 zingeondoka na uhai wa Mh Lissu,hapo ndipo Askari wangekuwa wamehusika kwa kuwa wamekamilika ki mafunzo hususan ya kulenga shabaha?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja ina mantiki,mtu " profesheno" angepiga risasi mbili au tatu tu.sasa inahisiwa humu kama ni serikali imehusika means ni maofisa usalama au askari kwa namna yeyote( kwa mujibu wa mashabiki wa hili sakata humu) sasa mtu gani mwenye mafunzo aliyeiva apige risasi 30 halafu akose target! Tufikiri nje ya boksi kidogo.huyo kapigwa na wavuta bangi wenzake wa chadema huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwambieni ajiulize wale CIA walijaribu mara ngapi kumuua Fidel Castro hadi alipo jifia mwenyewe kwa kudra za mwenyezi Mungu?
Yasser Arafat kanusurika majaribio kibao tena mengine toka kwa wadunguaji waisrael
Savimbi kanusurika zaidi ya Mara 5 hadi wakatangaza amekufa Mara 3 lakini baada ya siku akaibuka mzima na majeraha. Siku anakufa alipigwa risasi 15 mwilini lakini alimudu kupigana kwa masaa 4!
Wanajaribu uweza wa Mungu?!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Subiri jaribio la pili tuone huo uweza wa mungu,ngoja atie mguu bongo kama wiki itaisha bila msiba.
Yasser Arafat kanusurika majaribio kibao tena mengine toka kwa wadunguaji waisrael
Savimbi kanusurika zaidi ya Mara 5 hadi wakatangaza amekufa Mara 3 lakini baada ya siku akaibuka mzima na majeraha. Siku anakufa alipigwa risasi 15 mwilini lakini alimudu kupigana kwa masaa 4!
Wanajaribu uweza wa Mungu?!?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wanaJF,

Naona juhudi za kukanusha zinaendelea leo ameibuka Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni

DC Sarah Msafiri amekanusha madai ya kwamba serikali ndiyo ilihusika na tukio la kushambuliwa kwa Tundu Lissu

Amedai kuwa Serikali ya Tanzania haina Askari wazembe kiasi cha kufyatua risasi zaidi ya 30 halafu wakashindwa kumuuwa.

Chanzo: Dar Mpya

DA!!MALAYA WAZEE WANA SHIDA SHIDA.SHAME UPON THEM.
 
Back
Top Bottom