Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,955
- 95,282
Tayari washalewa madaraka na kujiona kama wao ni sehemu ya watunga sheriaArudi UVCCM akawe sehemu ya mipasho.
Hiyo nafasi siyo ya propaganda.
Ndio maana watu wanataka nafasi hiyo ifutwe.
Tayari washalewa madaraka na kujiona kama wao ni sehemu ya watunga sheriaArudi UVCCM akawe sehemu ya mipasho.
Hiyo nafasi siyo ya propaganda.
Ndio maana watu wanataka nafasi hiyo ifutwe.
Ndio kashapewa ulajiHuyu na sabaya wote ni watu wa Meko. Hawastahili kupewa madaraka awamu hii. Watapasuka mapema sana
Itatuondolea kina sabaya bashite muroHivi katiba mpya ndio inaleta bomba la maji?
Mbona Katiba ya sasa inaweza kuwaondoa?Itatuondolea kina sabaya bashite muro
Katiba ya sasa imetuletea wabunge wa serikali na sio wa wananchi.Mbona Katiba ya sasa inaweza kuwaondoa?
hata Sabaya alipewaga ulaji na mekoNdio kashapewa ulaji
katiba sio kwa ajiri ya ikungi ni kwa maslah ya taifaView attachment 1855570
DC wa Ikungi Jerry Muro amepiga marufuku mijadala ya katiba kwa wananchi wa wilaya hiyo pamoja na kusanyiko lolote linaloashiria kuhamasisha wananchi kujadili katiba pamoja na mikutano ya hadhara.DC huyo amesema wilaya hiyo haihitaji katiba bali inahitaji huduma kama maji,shule.
Katiba itayotokana/itayoshinikizwa na wananchi ni sawa, ila hii katiba inayoshinikizwa na chama kimoja cha siasa hapana.Hivi katiba mpya ndio inaleta bomba la maji?
Haya majitu yenye vinasaba vya ushoga mama hayaepuke maana akili zao haziendani na sayari hiiView attachment 1855570