DC Jerry Muro apiga marufuku mijadala ya katiba kwa wananchi wa wilaya ya Ikungi

Arudi UVCCM akawe sehemu ya mipasho.
Hiyo nafasi siyo ya propaganda.
Ndio maana watu wanataka nafasi hiyo ifutwe.
Tayari washalewa madaraka na kujiona kama wao ni sehemu ya watunga sheria
 
Huyu jamaa itakua akili hazimtoshi. Madaraka ya kulevya.

Naona kama taratibu tunaanza kurudi kule tulikotoka.
 
View attachment 1855570
DC wa Ikungi Jerry Muro amepiga marufuku mijadala ya katiba kwa wananchi wa wilaya hiyo pamoja na kusanyiko lolote linaloashiria kuhamasisha wananchi kujadili katiba pamoja na mikutano ya hadhara.DC huyo amesema wilaya hiyo haihitaji katiba bali inahitaji huduma kama maji,shule.
katiba sio kwa ajiri ya ikungi ni kwa maslah ya taifa
 
Huyo Muro yupo juu ya katiba?!Mtu mweusi ni Kima aliechangamka🐒🐒🐒

u765tfc12.png
 
View attachment 1855570
DC wa Ikungi Jerry Muro amepiga marufuku mijadala ya katiba kwa wananchi wa wilaya hiyo pamoja na kusanyiko lolote linaloashiria kuhamasisha wananchi kujadili katiba pamoja na mikutano ya hadhara.DC huyo amesema wilaya hiyo haihitaji katiba bali inahitaji huduma kama maji,shule.
Haya majitu yenye vinasaba vya ushoga mama hayaepuke maana akili zao haziendani na sayari hii
 
Back
Top Bottom