CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
- Thread starter
-
- #41
Ziko nyingi............mojawapo ni niliyokutana na Erickb52 japo kanisusa hata salamu kwa njia ya simu. Huzuni ni alipokamatwa na kusweka rumande............yaani sitasahau siku ile ya furaha iliyochanganyikana na huzuni
1. Siku ambayo sitasahau ni siku ambayo nabarikiwa ( first communion). lo lo lo lo sikulala siku hiyo...usingizi hakupatikana nakumbuka usiku ule..Halafu kila baada ya masaa kadhaa usiku nilikuwa naamka nachungulia suti yangu kama ipo na viatu
( Foengo).. Asubuhi nahisi mi ndi nilikuwa wa kwanza kuamka...Hkyanani sitasahau..
2.......hiyo next time..
tena mimi nitakuwa mjumbe.....nikikumbuka jinsi chiki wangu alivyoibiwa....inaniuma sana....hata bwana Mungi nadhani nae atashiriki coz juzi kati hapa kapotelewa na Ayumi.....kuna vitu vinauma jamani......
duh,hapo umeniacha kwenye yale mataa karibu na s.h amon. siku ya huzuni ya kuwekwa rumande ikachanganyikana na furaha how?
mwenzangu mi nikadhani kipipi kumbe kipisi.......! Pole madam...
tedo ushawahi kuugua kipanda uso weye? Heheh.....Eti kizunguzungu cha kipanda uso..
Si nilifurahi nilipokutana naye kwa mara ya kwanza afu mida kidogo ikageuka huzuni ilipotokea sekeseke la kukamatwa kwake au ushasahau mwenzetu?
Hahahahaaa hata mimi Kipipi
....ana mambo mtoto huyu.
hongera sana tedo, hv ilikuwa sabini na ngapi vile???
Dah siku ya furaha ni pale nilipoona baraka za Mungu live zikinimwagikia kwa fujo bila kutarajia.....!
Sitasahau milele!
Huzuni mh
Miye! walaaa......ndo kwanza nasikia leo Kipipi
Hebu nifahamishe inakuaje..
haleluyaaaaaaaaa! ameen!Dah siku ya furaha ni pale nilipoona baraka za Mungu live zikinimwagikia kwa fujo bila kutarajia.....!
Sitasahau milele!
Huzuni mh
Madame B, acha mautani bana! hebu mwulize kama ni Ayumi wangu! Preta hebu mwulize Madame B ni mbwa wa jinsia gani mwenye mapenzi zaidi ya BoyfriendAfu Preta unajua Mbwa ana mapenzi zaidi ya Boyfriend!!
Yani cku hyo kila Member lazima ataje Mnyama anaemmiliki kama wengine hawajawataja Fisi humu.
Yaani Chiki alikuwa mtamu yule,dah!!
Afu Ayumi ka nilimuona Masaki,si yule mwenye nyoya Jeupe!!
Huyo Ayumi si yule mwenye manyoya meupe?
Ndio huyohuyo niliemuona.
Mbwa mwenye mapenzi na mtu inategemea.
Kama mwanamke mapenzi yatakuwa kwa Mbwa wa Kiume na Kama ni Mwanamme Mapenzi yatakuwa Kwa Mbwa wa Kike