CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
ulali?Siku ya furaha ambayo sitakuja kuisahau ni pale nilipopigwa the First Kiss yani Nilipata Shock na Kuelea Sayarini.
Na Siku ya huzuni ni pale nilipofiwa na Mbwa wangu Kipisi.
:rip: Kipisi.
ulali?
Siku ya furaha ambayo sitakuja kuisahau ni pale nilipopigwa the First Kiss yani Nilipata Shock na Kuelea Sayarini.
Na Siku ya huzuni ni pale nilipofiwa na Mbwa wangu Kipisi.
:rip: Kipisi.
Kwani mi Kuku.
like ur answer!Kwani mi Kuku.
mjomba usicheke madame B anamanisha!Teh teh teh teh teh!
Dah siku ya furaha ni pale nilipoona baraka za Mungu live zikinimwagikia kwa fujo bila kutarajia.....!
Sitasahau milele!
Huzuni mh
Dah siku ya furaha ni pale nilipoona baraka za Mungu live zikinimwagikia kwa fujo bila kutarajia.....!
Sitasahau milele!
Huzuni mh
Uliokota pochi lenye ma euro nini?
Tena Shost acha tu.
Tuanzishe Kipisi Day.
Na Wajumbe watoke humu humu au sio?
2. The day i lost my father.heshima mbele wana chit chat, nina imani kila mmoja wetu hapa ana siku 2 ambazo hatazisahau maishani mwake.
1st. ni siku ya furaha, hii siku ambayo ulifurahi furaha isiyo na kifani. . .
2nd. hii ni siku uliyopatwa huzuni hakuna mfanowe!
tiririkeeni wadau ni siku zipi na kwanini ulifurahi / ulihuzunika?????