Specification zake ni zile zile zinazoelezewa kwenye mtandao wa SONY. Na picha vile vile. Baadhi ni kwamba haiingii maji. Pia kamera yake ina ki button chake maalum pembeni huna haja ya kufungua simu kutafuta screen yenye app ya kupigia picha, by the time unapiga picha tukio lishatokea, picha huna. Pia ina megapixels 20.1Ebu nipe specification zake.. Na inavyoonekana ipige picha usiwe ya kichina.. ni PM
Mkuu natumia Sony experia Z1 aina ya C6902 tatizo nikipiga picha wakati wa giza picha haivutii inakuwa na kama wingu hivi au moshi. Nimejaribu kuset auto n.k ila bado yagoma
Simu za Xperia ni water proof kwa mantiki ya flash proof.. sasa kuna watu wamekua wakizitumbukiza kwenye maji bila kujua baadhi ya flaps zimelegea.. hii inasababisha ukungu kwenye screen au kwenye camera sensors... kwa hiyo jaribu kupeleka kwa fundi mtaalamu eneo ulilopo afungue then asafishe sensor ya camera
Nje ya mada nina simu sony experia z2 imevunjika tempered glass ya nyuma naweza kurepair?
We acha tuu kisimu chenyewe cha ngama,afu sikuwa na mpango wowote wa kununua simu hapa karbuni mi mwenyewe nimedata,poleMie nimedondosha yangu Z3 imevunjika nyuma yaani nimedata maana
We acha tuu kisimu chenyewe cha ngama,afu sikuwa na mpango wowote wa kununua simu hapa karbuni mi mwenyewe nimedata,pole
chukua pesaMie nimedondosha yangu Z3 imevunjika nyuma yaani nimedata maana
chukua pesa
Ziko wapi nizichukue......
sema ulipo uletewe boss
nije na ngapi mkuu wangu?Sinza kijiweni.....
nauliza mbona maswali ni mengi.kuliko majibu.ila os ya android inawatesa sana.mboma wa os WP. os Blackberry. wako poa nijuzeni tena sony ndio janga kabisa.........
nije na ngapi mkuu wangu?
Ya kuweza ku repair simu yangu
Dont expect anything in return mkuu wangu