Mars Rover
JF-Expert Member
- Apr 27, 2012
- 338
- 140
- Thread starter
-
- #81
Habar wakuu nina tatizo lingne kweny sony experia z yang...tatizo moja haitaki ku install whtsap yan ina loaad wee mpka bas nfanyaje wakuuu..
Habar wakuu nina tatizo lingne kweny sony experia z yang...tatizo moja haitaki ku install whtsap yan ina loaad wee mpka bas nfanyaje wakuuu..
Nime fanikiwa ku update my Xperia z1 compact to kitkat sasa Tatizo inakula chaji balaaa Je kuna njia ya kusolve hili janga au Naweza kurudi kwenye my operation system yangu ya Mwanzo..!?
Suala hili limelalamikiwa na wengi. Pitia link hii upate solution ya muda huku mkisubiri patch ya kutatua tatizo hilo.
www.androidpit.com/android-4-4-2-battery-drain-fix-for-sony-xperia-z
Pia unaweza fungua app kwenye simu yako inaitwa XPERIA CARE, sign up kwa email na password, then utaenda kwenye SUPPORT FORUMS, tafuta forum ya simu yako, unaweza pata solution ya muda na pia kujifunza mengi kuhusiana na simu yako.
Mkuu Ni kwel hili Ni janga Ila pia nimejaribu kuiset isile chaj pia Hata Kuchaji ina chaji very slow tofauti na mwanzo...Ngoja tusubiri
WanaFamilia ya Xperia mshapata upadate ya lollipop?
kweny Xperia z? mi nishapata ila sija update bado
Nime fanikiwa ku update my Xperia z1 compact to kitkat sasa Tatizo inakula chaji balaaa Je kuna njia ya kusolve hili janga au Naweza kurudi kwenye my operation system yangu ya Mwanzo..!?
Mkuu hiyo tayari ina update sema inafanyika manually.. kupitia Sony Flashtool
Nazungumzia official update(OTA)
Hizo wakati mwingine haziji direct kwa simu yako mkuu.. inabidi udownload ftf file kwa ajili ya simu yako
ipo Z3 mpya kwenye box, laki saba na nusu.Nataka ninunue Sonny experia .. Nimeipenda experia na budget yangu ni 650000
ipo Z3 mpya kwenye box, laki saba na nusu.
Ipandishe Tena kwenye Android 5.Lollipop.tayari iko hewani ufurahie maisha
Njia ulizotumia kupata kitkat ndio hiyo hiyo unapata lollipop.Hebu Nipe link yak jee Haina Tatizo lolote compare na na hii kitkat..au then during update je simu ina bidi iwe katika hali gan Yaan lain iwepo kwenye simu au
Njia ulizotumia kupata kitkat ndio hiyo hiyo unapata lollipop.
Mbona kila nikiweka simu yangu katika pc companion ina niambia hamna any update...
Mbona kila nikiweka simu yangu katika pc companion ina niambia hamna any update...