Dawa za kisunna zinasaidia kweli?

Naam pumzi/Pumu,
wale wa kisukari dawa wanatumia hiyo,
gesi kujaa tumboni,
matatizo ya kizazi na uzazi,
mafua, malaria, UTI,
HIV-ref: inaua virus,

Many many more.
Pia unaweza ukaitumia kama Tiba at the same time ukaitumia kama Kinga ya magonjwa mbalimbali maana unajua binaadam hatuishi mambo.

Sijaona Ulcers hapo... Dawa ya Ulcers ni ipi mdada jamani
 
Habbat soda ina sifa hizi:

Huondoa bakteria mwilini
Huondoa uvimbe
Huondoa sumu mwilini
Inaondoa fangasi
Inatibu kansa
Inatibu pumu
Inadhibiti kazi za histamini
Inaua virusi
Inazuia damu kuganda

Vitu viwili mhimu zaidi ambavyo mafuta haya yanavyo ni ‘thymoquinone’ na ‘thymohydroquinone’.

More information plz visit google.

Ni Mkombozi wa Familia yangu yaani sasa hivi hospital tunafata vipimo tu lakini mambo yote black seed na garlic.
Vp mkuu haiongez nguvu za kiume
 
Sijaona Ulcers hapo... Dawa ya Ulcers ni ipi mdada jamani
Habat sauda inatibu kila ugonjwa isipokua uzee na kifo.... ila dawa nzuri ya Ulcers ni unga wa mbegu za mlonge asikwambie mtu utakuja kuleta mrejesho, japo kwa siku ya kwanza ukinywa inakupasa usitoke nje kbs na uwe jiran na toi... lol

chukua mbegu za mlonge kausha, ziponde na uchekeche upate unga kisha hifadhi kwenye chombo kisafi, chukua kijiko kimoja cha chakula unachanganya na maziwa au uji au maji ya moto kunywa mara mbili kwa siku.
 
9fb5e0ac8abbb0e1160ccb2588c31280.jpg

Inauzwa kwa bei ya elfu tano chupa hiyo, ipo ndogo yake bei ya elfu 4.... hapo ni kwa Dar mikoa mengine nasikia ghali.

Hayo ni mafuta unakunywa kijiko kimoja cha chai asubuhi baada ya chai sio kabla na usiku baada ya chakula sio kabla.

Aiseee hautajuta nakuapia, nina ushuhuda nayo sana mafuta haya ni mkombozi wa familia yetu.

Lakini pia kun unga wake, mimi ulinishinda mkali sana nikitumia napata kizungu zungu hadi kutapika japo wanasema kutapika au kuharisha ndio tiba yenyewe.
Itakuwa ni Black seed oil feki hiyo. Nijuavyo mimi black Seed Oil haiwezi kuuzwa kwa shilingi elfu 5 pesa za kibongo. Huku nilipo Ughaibuni Black Seed Oil inauzwa kwa pesa za Ki-Tanzania shilingi Elfu 20 na huku zipo hizo black Seed Oil kila sehemu na zinapatikana kwa wingi iweje huko bongo iuzwe black Seed Oil kwa shilingi elfu 5? Itakuwa ni black Seed oil feki hiyo. Kuweni makini na wanaouza dawa za kisuna wengi wao ni matapeli sana.
 
Ni biashara tu kama afanyavyo kijana tapeli mashuhuri wa kiafrika T.B. Joshua na maji yake ya mvua akidanganya watu kuwa ni ya mbinguni.
Hivi T.B Joshua aliwahi kusema yale maji ni ya mbinguni? Lini?

Unaweza kutudhibitishia hata kwa kuquote maneno ama video clip akisema hayo?

Hivi ni kwa vipi hizi dawa za kisunni zipo kibiashara tu?

Kwahiyo una uhakika kuwa hawa wanaosema wametumia ikawasaidia ni Uongo? Can you justify ?

Karibu ujibu kinagaubaga.
 
Itakuwa ni Black seed oil feki hiyo. Nijuavyo mimi black Seed Oil haiwezi kuuzwa kwa shilingi elfu 5 pesa za kibongo. Huku nilipo Ughaibuni Black Seed Oil inauzwa kwa pesa za Ki-Tanzania shilingi Elfu 20 na huku zipo hizo black Seed Oil kila sehemu na zinapatikana kwa wingi iweje huko bongo iuzwe black Seed Oil kwa shilingi elfu 5? Itakuwa ni black Seed oil feki hiyo. Kuweni makini na wanaouza dawa za kisuna wengi wao ni matapeli sana.
Hiyo hiyo fake ndio inatusaidia labda kwa imani ndio tunapona, usisahau pia sie tupo third world so ni vigumu kupata vitu OG.
 
Itakuwa ni Black seed oil feki hiyo. Nijuavyo mimi black Seed Oil haiwezi kuuzwa kwa shilingi elfu 5 pesa za kibongo. Huku nilipo Ughaibuni Black Seed Oil inauzwa kwa pesa za Ki-Tanzania shilingi Elfu 20 na huku zipo hizo black Seed Oil kila sehemu na zinapatikana kwa wingi iweje huko bongo iuzwe black Seed Oil kwa shilingi elfu 5? Itakuwa ni black Seed oil feki hiyo. Kuweni makini na wanaouza dawa za kisuna wengi wao ni matapeli sana.
Inawezekana,mimi hiyo unayoiona hapo niliwahi kuitumia moyo ukawa unanienda mbio vibaya sana,nikaacha mpaka leo naogopa kutumia black seed oil kwa Imani kuwa ina hiyo effect...
 
Point
 
Pole sana ila jua kua kila mtu ana alegy ya kitu flani wapo wengine wakila asali wanavimba, wapo wengine wakila garlic wanawashwa lakini ni tiba sana kwa wengine.

Black seed hiyo wala sio feki ila ni ukanjanja wa watu ili wapige dili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom