Dawa za kisunna zinasaidia kweli?

Dawa za kisunna zinasaidia kweli?

Oooh pole, Chukua kitunguu saumu punje 5 kata kata vipande vidogo meza kama dawa.
Halafu chukua punje mbili ponda upake sehemu husika kama una mikwaruzo itauma kidogo vumilia kama hauna mikwaruzo utakua shwari tu. endelea na zoezi hilo mpk utakapo pona.

Mafuta yake unaweza kutengeneza mwenyewe nyumban ni rahisi sana, ufanye kama ndio mafuta yako ya mwilini.

Ukipona unitafute uninunulie japo juice ya Stafeli.... lol.
Naomba unielekeze namna ya kutengeneza mafuta ya vitunguu swaumu please!
 
Hiyo ya kutafuna ilinishinda kabisaaa, hua nameza tu, yes kwa BP ni nzuri sana, vinaongeza kinga ya mwili, vinatibu fangasi, bakteria na virus vya mafua, vinapunguza na kuondosha kabisa mafuta mwilini kwa wale wanaotaka kupungua uzito ndio mwake.... havina shida ukivifanya ni sehem ya mlo wako.

Good luck.
Kweli kabisa dear
 
Dada yangu alikua amejaa maji kwenye kizazi baada ya kutumia dawa bila mafanikio suluhisho ikawa op,
Ndio Aunt angu akamletea hayo mafuta huwezi amini in two weeks hakuna tena maji na yupo poa hadi leo hii ana expect a baby.

Mama angu mkubwa alikua ana tatizo la gesi kujaa hadi wakaitoa lakini wapi, baada ya kutumia hayo mafuta madaktari wenyewe walishangaa mpk sasa tatizo halijarudi.

Mimi Moyo ulikua una sumbua kulala siwezi, nikawa nakunywa unga wake in three days niliweza kulala baade nikabadilisha nikaanza kunywa mafuta mpaka sasa sijawahi kulia tena kuhusu moyo.

Shuhuda zipo nyingi na kila ninayemuelekeza hajawahi kujutia.
Ahsante dawa kubwa ya TB ukichanganya habbat soda,asali na vitunguu swaumu
 
Naomba unielekeze namna ya kutengeneza mafuta ya vitunguu swaumu please!
Unachukua vitunguu saumu lets say robo, unamenya, chukua fry pan au sufuria weka mafuta yako utakayopenda wewe inaweza kua ya Nazi, Olive oil (wengi hutumia hii) na kadhalika.... mimina kwenye chombo chako pamoja na vitunguu saumu acha ichemke kwa moto mdogo sanaa mpaka vitunguu vibadilike rangi na kua vya brown kisha epua.... subiri ipoe uweke kwenye chombo chako tayari kwa kutumia.
 
Kweli kabisa dear
300ee6bec8a8efe5568e1b1a943cc45e.jpg
 
Unachukua vitunguu saumu lets say robo, unamenya, chukua fry pan au sufuria weka mafuta yako utakayopenda wewe inaweza kua ya Nazi, Olive oil (wengi hutumia hii) na kadhalika.... mimina kwenye chombo chako pamoja na vitunguu saumu acha ichemke kwa moto mdogo sanaa mpaka vitunguu vibadilike rangi na kua vya brown kisha epua.... subiri ipoe uweke kwenye chombo chako tayari kwa kutumia.
Thank yuu ntafanya hvyo.
Be blessed
 
Gal, hivi vipele vile nyuma ya kichwa haswa vinavyotokana na kunyoa dawa yake unaijua
Sababu kwanza ya vipele ni kunyoa vibaya yaan nywele zinatakiwa zitolewe uelekeo zilipolalia kwa maana kutoka juu kushuka chini,

Sababu ya pili mashine au wembe kua butu hivyo kama ni salun vema uende na mashine yako kuepuka usumbufu,

Kinga, paka poda wakati wa kunyoa na upake spirit ukimaliza kunyoa,

Tiba, chukua jelly ya aloe vera changanya na mafuta ya nazi upake sehemu husika,
Au majani ya muarobaini nao yapo vizuri sana kwa ngozi yatwange weka vimaji kidogo sana sugulia kwenye tatizo.
 
Garlic hasa hizi za kienyeji ni nzuri sana tatizo ni harufu yake kali ingawa wataalam ndio wanasema harufu yake kali ndio inareflect potence yake.
Watu wanakosea ktk matumizi raw garlic cloves kama punje 3 ndio recommended dosage kwa siku vina manufaa mengi ktk afya ya mwili, lakini before use menya garlic cloves halafu crash au vivunje na uviache kwa dakika 10 hapo ingredient ya Garlic Allicin inakuwa active.
Ukipata na kijiko kidogo cha blackseed oil na pumpkin seed a quarter of tea cup raw ones, tafuna tu utaona manufaa yake na ukiongeza olive oil extra virgin table spoon itapendeza sana.
Kwa sisi wa Kiume utafeel changes
 
Thank you CL
 
Hizi Pumpkin seeds zina manufaa gani?? maana naona sasa hivi zimejaa masokon na supermarkets.
 
Pumpkin seeds zina libido boosting vitamins kama vitamins B,C,D, E, na K na zina Potassium,phosphorus, calcium,Zinc hivyo vyote ni muhimu sana kuboresha nguvu za Kiume lakini watu wanategemea majibu ya haraka vitamins na minerals zinaanza kufanya kazi not less than 60 days ya kutumia Kila siku na matumizi yake ni robo kikombe cha chai Kila siku
 
Furthermore check na wataalam ndio utapata ushauri bora ila chanzo kikubwa cha maradhi yasiyoambukiza ni changing life styles
 
Wakuu metumia hayo mafuta ya black seed kwa siku kumi ila tofauti niliyoona inanipa usingizi mzito sana pia nasikia njaa kupita kiasi
 
HIYO BLACK SEED OIL AU UNGA KUWA MUANGALIFU IWAPO UNA KISUKARI AU PRESHA YA KUSHUKA INAFANYA KAZI TARATIBU YA KUSHUSHA SUKARI NA PRESHA KWA KIWANGO CHA HATARI
 
Back
Top Bottom