Dawa za kisunna zinasaidia kweli?

9fb5e0ac8abbb0e1160ccb2588c31280.jpg

Inauzwa kwa bei ya elfu tano chupa hiyo, ipo ndogo yake bei ya elfu 4.... hapo ni kwa Dar mikoa mengine nasikia ghali.

Hayo ni mafuta unakunywa kijiko kimoja cha chai asubuhi baada ya chai sio kabla na usiku baada ya chakula sio kabla.

Aiseee hautajuta nakuapia, nina ushuhuda nayo sana mafuta haya ni mkombozi wa familia yetu.

Lakini pia kun unga wake, mimi ulinishinda mkali sana nikitumia napata kizungu zungu hadi kutapika japo wanasema kutapika au kuharisha ndio tiba yenyewe.
Inatibu nin?
 
Fangasi wa wapi??? miguuni au.
Kitunguu saumu ni tiba sana ya Fangasi na miwasho. ukipata mafuta yake utaenjoy pia.
Fungus katikati ya mapaja na makende huwa natumia zile za tube za kupaka kama sornaderm zinaisha ila baada ya kama week zinajirudia,hicho kitunguu swaumu nakitumiaje ?
 
Oooh pole, Chukua kitunguu saumu punje 5 kata kata vipande vidogo meza kama dawa.
Halafu chukua punje mbili ponda upake sehemu husika kama una mikwaruzo itauma kidogo vumilia kama hauna mikwaruzo utakua shwari tu. endelea na zoezi hilo mpk utakapo pona.

Mafuta yake unaweza kutengeneza mwenyewe nyumban ni rahisi sana, ufanye kama ndio mafuta yako ya mwilini.

Ukipona unitafute uninunulie japo juice ya Stafeli.... lol.
 
Mkuu unatengenezaje hayo mafuta ya Kitunguu saumu?
 
Hivi T.B Joshua aliwahi kusema yale maji ni ya mbinguni? Lini?

Unaweza kutudhibitishia hata kwa kuquote maneno ama video clip akisema hayo?

Hivi ni kwa vipi hizi dawa za kisunni zipo kibiashara tu?

Kwahiyo una uhakika kuwa hawa wanaosema wametumia ikawasaidia ni Uongo? Can you justify ?

Karibu ujibu kinagaubaga.

T.B. Joshua ni bonge la tapeli ni wajinga tu ndiyo wanaomkubali.
 
Oooh pole, Chukua kitunguu saumu punje 5 kata kata vipande vidogo meza kama dawa.
Halafu chukua punje mbili ponda upake sehemu husika kama una mikwaruzo itauma kidogo vumilia kama hauna mikwaruzo utakua shwari tu. endelea na zoezi hilo mpk utakapo pona.

Mafuta yake unaweza kutengeneza mwenyewe nyumban ni rahisi sana, ufanye kama ndio mafuta yako ya mwilini.

Ukipona unitafute uninunulie japo juice ya Stafeli.... lol.
Okay nimekuelewa ngoja nifanye hilo zoezi ila kuhusu kumeza mwaka 2010 ilikuwa nakula tunavyotafuna big G,kuna mshikaji wetu alikuwa na tatizo la BP akashauriwa awe anatafuna vitunguu swaumu,basi akatuambiza na ss na wafanyakazi wengine,na mwaka jana nilitumia kwa miezi 3 mfululizo,nadhani awamu hii nikitumia kumeza na kupaka inaweza kuleta matokeo chanya

Kuhusu juice ya stafeli worry out ngoja nifanye kama ulivyosema
 
Itakuwa ni Black seed oil feki hiyo. Nijuavyo mimi black Seed Oil haiwezi kuuzwa kwa shilingi elfu 5 pesa za kibongo. Huku nilipo Ughaibuni Black Seed Oil inauzwa kwa pesa za Ki-Tanzania shilingi Elfu 20 na huku zipo hizo black Seed Oil kila sehemu na zinapatikana kwa wingi iweje huko bongo iuzwe black Seed Oil kwa shilingi elfu 5? Itakuwa ni black Seed oil feki hiyo. Kuweni makini na wanaouza dawa za kisuna wengi wao ni matapeli sana.
Kwaio ughaibuni ndo wanauza vitu original...kakudanganya nani
tunapenda kununua vilivyo ndan ya nchi yetu na tutanunua hizo hizo za elfu 5,
mbona inamtibu huyo dada hapo juu ina mana mtu aje kutoa ushuhuda wa uongo kwa faida gani? Na sio kwamba ana advertise hio bidhaa mana ametoa na sehem za kuzipata...kwaio kama vipi bakini na za huko ughaibuni kwenu, tutanunua original za nchini kwetu kwa bei nzuri anayomudu mtanzania.
 
Okay nimekuelewa ngoja nifanye hilo zoezi ila kuhusu kumeza mwaka 2010 ilikuwa nakula tunavyotafuna big G,kuna mshikaji wetu alikuwa na tatizo la BP akashauriwa awe anatafuna vitunguu swaumu,basi akatuambiza na ss na wafanyakazi wengine,na mwaka jana nilitumia kwa miezi 3 mfululizo,nadhani awamu hii nikitumia kumeza na kupaka inaweza kuleta matokeo chanya

Kuhusu juice ya stafeli worry out ngoja nifanye kama ulivyosema
Hiyo ya kutafuna ilinishinda kabisaaa, hua nameza tu, yes kwa BP ni nzuri sana, vinaongeza kinga ya mwili, vinatibu fangasi, bakteria na virus vya mafua, vinapunguza na kuondosha kabisa mafuta mwilini kwa wale wanaotaka kupungua uzito ndio mwake.... havina shida ukivifanya ni sehem ya mlo wako.

Good luck.
 
Kwaio ughaibuni ndo wanauza vitu original...kakudanganya nani
tunapenda kununua vilivyo ndan ya nchi yetu na tutanunua hizo hizo za elfu 5,
mbona inamtibu huyo dada hapo juu ina mana mtu aje kutoa ushuhuda wa uongo kwa faida gani? Na sio kwamba ana advertise hio bidhaa mana ametoa na sehem za kuzipata...kwaio kama vipi bakini na za huko ughaibuni kwenu, tutanunua original za nchini kwetu kwa bei nzuri anayomudu mtanzania.
Huyo mzee ni mpiga dili me namjua sana hapo anatengeneza mazingira awaokote watu ajifanye anawaagizia kwa bei hiyo....

Anasahau bei pia zinaenda na ujazo. lol.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom