Dawa za kisunna zinasaidia kweli?

9fb5e0ac8abbb0e1160ccb2588c31280.jpg

Inauzwa kwa bei ya elfu tano chupa hiyo, ipo ndogo yake bei ya elfu 4.... hapo ni kwa Dar mikoa mengine nasikia ghali.

Hayo ni mafuta unakunywa kijiko kimoja cha chai asubuhi baada ya chai sio kabla na usiku baada ya chakula sio kabla.

Aiseee hautajuta nakuapia, nina ushuhuda nayo sana mafuta haya ni mkombozi wa familia yetu.

Lakini pia kun unga wake, mimi ulinishinda mkali sana nikitumia napata kizungu zungu hadi kutapika japo wanasema kutapika au kuharisha ndio tiba yenyewe.
Hayo mafuta kwenye hiyo picha ndio yenyewe au tunaibiwa
 
maduka yote ya dawa za asili,kama uko dar wasiliana na huyu ustadhi anauza pia 0713222302
Dawa za kisuna ni jina linalobeba dawa zote amabzao walitumia mitume wa Mungu,ukisikia neno sunna ni jambo lilolofanywa na watu wema walio tangulia,sasa dawa hizi nyingi za asili huwa wanaziingiza kwenye jina hilo,yaani kama wasabato wanavyoziita dawa za eden ni tiba za asili ambazio zilitumiwa na watu wema wa zamani mitume nk
 
Itakuwa ni Black seed oil feki hiyo. Nijuavyo mimi black Seed Oil haiwezi kuuzwa kwa shilingi elfu 5 pesa za kibongo. Huku nilipo Ughaibuni Black Seed Oil inauzwa kwa pesa za Ki-Tanzania shilingi Elfu 20 na huku zipo hizo black Seed Oil kila sehemu na zinapatikana kwa wingi iweje huko bongo iuzwe black Seed Oil kwa shilingi elfu 5? Itakuwa ni black Seed oil feki hiyo. Kuweni makini na wanaouza dawa za kisuna wengi wao ni matapeli sana.
Itakuwa ni black seed oil iliyochanganywa na mafuta ya mzeituni. Binafsi nishatumia aina hiyo hiyo hapa bongo ilionesha kunisaidia. Je black seed original tutapata wapi mkuu??
 
Itakuwa ni black seed oil iliyochanganywa na mafuta ya mzeituni. Binafsi nishatumia aina hiyo hiyo hapa bongo ilionesha kunisaidia. Je black seed original tutapata wapi mkuu??
Nenda mjini Dar karibu na Sokoni Kariakoo kwenye maduka ya wauza dawa za kisuna kaulize utapata.
 
9fb5e0ac8abbb0e1160ccb2588c31280.jpg

Inauzwa kwa bei ya elfu tano chupa hiyo, ipo ndogo yake bei ya elfu 4.... hapo ni kwa Dar mikoa mengine nasikia ghali.

Hayo ni mafuta unakunywa kijiko kimoja cha chai asubuhi baada ya chai sio kabla na usiku baada ya chakula sio kabla.

Aiseee hautajuta nakuapia, nina ushuhuda nayo sana mafuta haya ni mkombozi wa familia yetu.

Lakini pia kun unga wake, mimi ulinishinda mkali sana nikitumia napata kizungu zungu hadi kutapika japo wanasema kutapika au kuharisha ndio tiba yenyewe.
Oooh pole, Chukua kitunguu saumu punje 5 kata kata vipande vidogo meza kama dawa.
Halafu chukua punje mbili ponda upake sehemu husika kama una mikwaruzo itauma kidogo vumilia kama hauna mikwaruzo utakua shwari tu. endelea na zoezi hilo mpk utakapo pona.

Mafuta yake unaweza kutengeneza mwenyewe nyumban ni rahisi sana, ufanye kama ndio mafuta yako ya mwilini.

Ukipona unitafute uninunulie japo juice ya Stafeli.... lol.
Neku PM nasubir majibu yako mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom