Mtu mweusi bwana, kwahiyo tiba za hospitalini ni ulozi sikuhizi? WTF. Dini isikufanye mpumbavu aisee. Depression, anxiety is real, millions are dying out there.
Nisome vizuri Mpendwa , pia jaribu kufuatilia michango yangu ya mawazo utanielewa tu.
Nitakuwa waajabu sana kama nitasema dawa za hospitali hazifai.
Jaribu kuoanisha mawazo mazuri ya watu mbali mbali mfano wengine Wamesema mtu akijizoesha kutumia dawa za hospitali zinaweza mpelekea kuwa edicted na kuwa mtumwa wa kutumia hizo dawa for the rest of his or her life!
Na dawa zikitumika kwa muda mrefu sana kwa miaka nyingine zaweza leta madhara kwenye mwili wa binadamu.
Sasa kuepuka hayo yote ndipo sasa tunaposhauri njia mbadala ambazo nazo zimethibitishwa na wanasayansi kuponyesha pasipo shaka.
Njia hizo ni pamoja na maombi kupitia Jina la Yesu Kristo na kushika maneno yake ya uzima kisha kuwekwa huru kuanzia ndani ya moyo, akili na nafsi hadi nje ya mwili.
Mwanadamu aliumbwa kwa njia ya Neno la Mungu na kwahiyo maisha yake yote yanakuwa regulated na Neno lile lile la Kristo.
Mungu alisema “natumfanye mtu kwa sura na mfano wetu” ndipo mtu akaombewe.
Pia wengine wameshauri mazoezi, kubadilisha aina ya mifumo ya maisha n.k
Hata madaktari wa psychologia na psychiatric watakwambia kuwa mambo kama ya hasita, chuki, uchungu kumbukizi ya matatizo yalopita huwa si salama.
Jiongeze katika kupata maarifa zaidi .