Rog chimera
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 346
- 546
Habari wakuu,
Naomba anayefahamu zinakopatikana dawa za anxiety disorders anisaidie.
Ninasumbuliwa na tatizo la bipolar disorder na anxiety, linanifanya nakuwa na hasira sana hata kwa vitu vidogo na pia nime develop tazo la kupanick katika mazingira fulani fulani.
Kuna dawa niliandikiwa na daktari mmoja huko nairobi inaitwa escitalopram nilitumia ilinisaidia sana lakn ss kwa hapa Dar sijui zinapatikana pharmacy ipi, regency nasikia zipo lakini sitaki kulipa hela ya consultation kwa sababu tatizo tayari linafahamika
Naomba kufahamishwa pharmacy zinakopatikana hizi dawa. 'ESCITALOPRAM "