Kua Makini Daktari Atakutafunia Mke na Atapachika.. Isijekua Daktari aliweka mimba siku hiyo akataka ukulengeshe.WA JF NADHAN NAMIMI SIJUI NAHITAJI MSAADA KUNA SIKU KAMA WEEK MBILI ZILIZOPITA DAKTARI WA MKE WANGU ALINIPIGIA SIMU AKASEMA UNABIDI LEO UKUTANE NA MPENZI WAKO ILI AWEZE KUSHIKA MIMBA NIKACHUKUA USAFIRI FASTA SIJUI KUPANIKI NIKAFIKA MAPIGO YA MOYO YAPO JUU KAMA NIEPANIK DUDE HALITAKI KUAMKA SASA KILA NIKTAKA KUKUTANA ILE HALI YA KUPANIK INANIJIA TENA NA MMI NAHITAJI DAWA ZA KUWEZA KUSAHAU
Hawa wanawake ambao mnakutana nao wameshafika miaka 25+ muwachunguze mienendo yao huko nyuma. Wengine wanameza haya ma P2 kwa muda mrefu kama wanameza panadol matokeo yake haya madawa yanabakia katika mfumo wa uzazi yana reject kila ujauzito unapotunga. Hadi mwili uje uake sawa miaka 45 hiyo hapo......
Kuweni makini sana.....
Trauma
ndo nini dadaTrauma
Unge relax tu na mzigo ungepiga kama kawaida au hata ungefanya jambo lingine ulivyokutana na mkeo kama vile kuangalia movie baadae ungesimamisha tuWA JF NADHAN NAMIMI SIJUI NAHITAJI MSAADA KUNA SIKU KAMA WEEK MBILI ZILIZOPITA DAKTARI WA MKE WANGU ALINIPIGIA SIMU AKASEMA UNABIDI LEO UKUTANE NA MPENZI WAKO ILI AWEZE KUSHIKA MIMBA NIKACHUKUA USAFIRI FASTA SIJUI KUPANIKI NIKAFIKA MAPIGO YA MOYO YAPO JUU KAMA NIEPANIK DUDE HALITAKI KUAMKA SASA KILA NIKTAKA KUKUTANA ILE HALI YA KUPANIK INANIJIA TENA NA MMI NAHITAJI DAWA ZA KUWEZA KUSAHAU
kusimamisha na simamisha ila nikianza penetration kuna kauoga flan hiv kanaanza nawaza iseji dushe likalala bas bas hapo hapo dushe linasinyaaUnge relax tu na mzigo ungepiga kama kawaida au hata ungefanya jambo lingine ulivyokutana na mkeo kama vile kuangalia movie baadae ungesimamisha tu
Je hiyo inatokea kwa mkeo tu au hata mwanamke yeyote kwa sasa
Samahani kidogo,kwa swali hili,je hiyo hali inatokea kwa mke wako tu au hata mtu mwingine?kusimamisha na simamisha ila nikianza penetration kuna kauoga flan hiv kanaanza nawaza iseji dushe likalala bas bas hapo hapo dushe linasinyaa
Magonjwa ya akili..mengi ni state of the mind,lol…yote ni mawazo tu..ukifanikiwa kuya 'tune' utakua fine...madawa ni last resort madaktari wana prescribe kama kweli condition yako..ina impair significant Maisha yako....
out of topic; Citalopram ni dawa ya nini? usingizi ama depression???
kusimamisha na simamisha ila nikianza penetration kuna kauoga flan hiv kanaanza nawaza iseji dushe likalala bas bas hapo hapo dushe linasinyaa
Kama ni state ya mind tu just ku tune right frequency
How can you adjust that state of mind by mind itself (which is the trouble)
Tatizo lako linaweza kutibiwa kwa njia ya meditation, kwanza ni bure.
Ni kweli kabisa , lakini pia kuna watu wamefanya meditation peke yao na wamefika level ya mbali sana . Hatua za mwanzo zina uwezo wa kuondoa hayo matatizo kama anxiety na insomniaSema ili zoezi liwe na ufanisi inabidi awepo mtu wa kumuongoza!
Nabadilisha mboga. Mengine sidhani kama ni for public consumption.Unashilingi ngapi kwenye account yako ya bank?!
ndo nini dada
Psychological trauma is a type of damage to the mind that occurs as a result of a distressing event. Trauma is often the result of an overwhelming amount of stress that exceeds one's ability to cope, or integrate the emotions involved with that experience.Naomba ufafanue
Psychological trauma is a type of damage to the mind that occurs as a result of a distressing event. Trauma is often the result of an overwhelming amount of stress that exceeds one's ability to cope, or integrate the emotions involved with that experience.
Hasa huyu kasema ana bipolar au inaponya vyote?
Psychological trauma is a type of damage to the mind that occurs as a result of a distressing event. Trauma is often the result of an overwhelming amount of stress that exceeds one's ability to cope, or integrate the emotions involved with that experience.