Dawa za Anxiety

Dawa za Anxiety

Safi kabisa haiwezekan sisi hapa tuku indicate controlled drugs bila kuwa na valid prescription
Nenda kwa daktari wa magonjwa ya akili au neurologist mkuu. Ni makosa ku prescribe dawa hapa online.
 
Mimi nna tatizo linaitwa MVP (Mitral Valve Prorapse), effect zake zinaendana sana na za kwako
 
Pia fanya meditation na breathing exercises. Download apps Headspace au Oak zitakusaidia.
 
1. Fanya nazoezi utalala vizuri sana
2.------jiamini, acha kuikilia dunia itakuelewaje, maisha ni yaks, sasa kama unawazia sana watuwatakuchuliaje ndio unaleta hiyo
3.Acha kufikilia sana vitu vilivyopita ishi sasa achana na jana, kesho
4.mimi niko kama wewe hapo number 4 na sioni tatizo
5.nipo kama wewe hapo pia suoni shida, hata niliacha kazi ili nijiajiri mwenyewe, and i love it
6.hata mimi niko hivyo, tena mi hata sipokei ushauri
Kwauandishi huu bado hujapona
 
Nenda Nakiete Pharamcy pale karibu na Mwenge kuna kituo cha dala dala kinaitwa ITV. Kuna jengo la ghorofa la rangi ya njano. Ni citalopram. Tafuta za miligram 10 ukizikosa wakupe za miligram 20 ila unywe nusu kidogonge kwa siku.
Ila pia nenda kapime kisukari kwanza... For more info nichek inbox...
GHARAMA ZA DAWA NI BEI GANI MKUU
 
Hili tatizo linatumaliza wengi.

Mimi naomba maelezo kidogo juu ya nini kinanisumbua kulingana na hizi symptoms hapa chini:-
1. Kukosa usingizi kabisa (napata labda masaa mawili kwa siku). Hii inaweza kwenda kwa hata miezi saba mpaka nane kwa mwaka.

2. Muoga/Aibu kuongea mbele ya watu. Hii sio muda wote. Kuna kipindi tu ghafla nakuwa hivyo hata kwa miezi kadhaa then narudi kuwa kawaida.

3. Panic (Selective au sijui niiteje) kuna mambo ambayo binadam kwa kawaida tunastahili kupanic na kuna ya kupotezea, sasa mimi napanic viti vya ajabu sana. Text SMS tu ya kawaida naweza panic na kupata hasira muda mrefu na nisisamehe kabisa. Lakini bunduki, msiba, ajali nachukulia poa kabisa.

4. Anti-Social in real life but very social in the internet and calls. Inapelekea kuoneaka naringa au najisikia.

5. Napenda kufanya kazi au jambo langu mwenyewe. Mpira ni shabiki sana lakini siwezi angalia na mtu.

6. Sipendi Ushauri mid way. Kama ni kununua au kuunda kitu changu, sitaki unishauri kabisa hata kama ni kuboresha. Lakini nikikamilisha niko tayari kupokea ushauri hata ikibidi kurudia upya.

DECLARATION:
1.Ni mgonjwa wa peptic Ulcers
2. Wakati fulani nilitumia marijuana ikasaidia sana kuzifunika hizo symptoms na nikawa kawaida sana. Kwa sasa nina miaka zaidi ya mitano situmii tena.

Mkuu hizi ni dalili za mtu Aliyekua anajichukulia sheria mkononi yaani chaputa member [emoji12] I hope na shida ya kusahau sahau unayo pia
 
Mkuu hizi ni dalili za mtu Aliyekua anajichukulia sheria mkononi yaani chaputa member [emoji12] I hope na shida ya kusahau sahau unayo pia
Sina shida ya kusahau sahau.

Masturbation siwezi kukana lakini sikuwa frequent hivyo kiasi cha kusema nilikuwa "mwanachama". It happen three or four times only
 
Nilisikia dawa ya depression ni vitamin B...milisomaga humuhumu jf
 
Back
Top Bottom