Dawa za Anxiety

Mk
WA JF NADHAN NAMIMI SIJUI NAHITAJI MSAADA KUNA SIKU KAMA WEEK MBILI ZILIZOPITA DAKTARI WA MKE WANGU ALINIPIGIA SIMU AKASEMA UNABIDI LEO UKUTANE NA MPENZI WAKO ILI AWEZE KUSHIKA MIMBA NIKACHUKUA USAFIRI FASTA SIJUI KUPANIKI NIKAFIKA MAPIGO YA MOYO YAPO JUU KAMA NIEPANIK DUDE HALITAKI KUAMKA SASA KILA NIKTAKA KUKUTANA ILE HALI YA KUPANIK INANIJIA TENA NA MMI NAHITAJI DAWA ZA KUWEZA KUSAHAU
Mkuu pole sana kwa matatz, ni vyemanukamuona psychiatrist kwanza ukamueleza matatizo yako kabla ya kutumia dawa,pengine tatz lako sio kubwa kihivo
 
Hahahaha mkuu sio lazima, unapoona hali yako imerudi kawaida unasitisha , ila kusitisha kwenyewe ni kulingana na daktari atakavyoelekeza.sijui kuhusu long term side effects lakin nachofaham kwa experience yangu ukiitumia miezi kama mitatu mfululizo tatz linakata kabsa,
Gharama zake zpoje kaka
 
WA JF NADHAN NAMIMI SIJUI NAHITAJI MSAADA KUNA SIKU KAMA WEEK MBILI ZILIZOPITA DAKTARI WA MKE WANGU ALINIPIGIA SIMU AKASEMA UNABIDI LEO UKUTANE NA MPENZI WAKO ILI AWEZE KUSHIKA MIMBA NIKACHUKUA USAFIRI FASTA SIJUI KUPANIKI NIKAFIKA MAPIGO YA MOYO YAPO JUU KAMA NIEPANIK DUDE HALITAKI KUAMKA SASA KILA NIKTAKA KUKUTANA ILE HALI YA KUPANIK INANIJIA TENA NA MMI NAHITAJI DAWA ZA KUWEZA KUSAHAU

Kwa nini unasubiri hadi daktari akupigie kukukumbusha kufanya tendo? Haya mambo hayataki ratiba.

Fanya kila siku kwa miezi miwili mfululizo, mimba mtapata na kitu kitazoea kusimama anytime.
 
Wewe huna tatizo !
Tuliza kichwa chako huku ukiendelea kumuomba Mungu na kumtumaini utafanikiwa tu pia msiache kufuatilia hospitali.

Mshauri wifi nae atulie , asije akawa na mchango ktk kukufanya upanic kwenye hayo mambo!

Mtafanikiwa tu ila msiache kuomba na kufatilia hospitali.

Wifi anatakiwa kuku encourage kukutia moyo na siyo kukusukiza !

Na yeye inawezekana anafanya hivyo kwa nia njema bila kujua itaweza kufanya upanic hadi jamaa agome kusimama kabisa!

Huwa inatokea just relax , pendaneni wala msiwaze sana kuhusu hayo itatokea tu mtashangaa
 
Kwa nini unasubiri hadi daktari akupigie kukukumbusha kufanya tendo? Haya mambo hayataki ratiba.

Fanya kila siku kwa miezi miwili mfululizo, mimba mtapata na kitu kitazoea kusimama anytime.

MKUU WIFE ALIKUWA ANASHIDA KIDOGO YA MIMBA KUTOKA SO DR AKASEMA IKIFIKA MIDA YA HATARI ATATUAMBIA LINI WAKATI WA KUKUTANA MAANA ALIKUWA NAYA MONITOR MAYAI YAKE ILIKUWA KILA BAADA YA SIKU MBILI AU TATU ANAFANYA ULTRASOUND
 
Habar wakuu naomba anayefahamu zinakopatikana dawa za anxiety disorders anisaidie,
Nna sumbuliwa na tatzo la bipolar disorder na anxiety .linanifanya nakuwa na hasira sana hata kwa vitu vidogo na pia nime develop tazo la kupanick katika mazingira fulani fulani. Kuna dawa niliandikiwa na daktari mmoja huko nairobi inaitwa escitalopram nilitumia ilinisaidia sana lakn ss kwa hapa dar sijui zinapatikana pharmacy ipi, regency naskia zipo lakini sitaki kulipa ela ya consultation kwa sabab tatz tayar linafahamika,naomba kufahamishwa pharmacy zinakopatikana hizi dawa. 'ESCITALOPRAM "
Ulishawahi hudhuria clinic au umejidiagnose tu mwenyewe....?!

Kuna conditions zingine unatakiwa ulambwe makofi tu na kigegedwa vizuri unarudi sawa
 
Hili tatizo linatumaliza wengi.

Mimi naomba maelezo kidogo juu ya nini kinanisumbua kulingana na hizi symptoms hapa chini:-
1. Kukosa usingizi kabisa (napata labda masaa mawili kwa siku). Hii inaweza kwenda kwa hata miezi saba mpaka nane kwa mwaka.

2. Muoga/Aibu kuongea mbele ya watu. Hii sio muda wote. Kuna kipindi tu ghafla nakuwa hivyo hata kwa miezi kadhaa then narudi kuwa kawaida.

3. Panic (Selective au sijui niiteje) kuna mambo ambayo binadam kwa kawaida tunastahili kupanic na kuna ya kupotezea, sasa mimi napanic viti vya ajabu sana. Text SMS tu ya kawaida naweza panic na kupata hasira muda mrefu na nisisamehe kabisa. Lakini bunduki, msiba, ajali nachukulia poa kabisa.

4. Anti-Social in real life but very social in the internet and calls. Inapelekea kuoneaka naringa au najisikia.

5. Napenda kufanya kazi au jambo langu mwenyewe. Mpira ni shabiki sana lakini siwezi angalia na mtu.

6. Sipendi Ushauri mid way. Kama ni kununua au kuunda kitu changu, sitaki unishauri kabisa hata kama ni kuboresha. Lakini nikikamilisha niko tayari kupokea ushauri hata ikibidi kurudia upya.

DECLARATION:
1.Ni mgonjwa wa peptic Ulcers
2. Wakati fulani nilitumia marijuana ikasaidia sana kuzifunika hizo symptoms na nikawa kawaida sana. Kwa sasa nina miaka zaidi ya mitano situmii tena.
Unashilingi ngapi kwenye account yako ya bank?!
 
Tatizo weng tunakuwa selfsh sana tunajaza mambo katika ubongo mpaka unakuwa na usumbufu na weng tuna penda kukaa Jambo hata Yale yasio na msingi,na weng wanna wivu pitiliz inafikia KIPINDI anachukia hata wasio na shida kwao.

Jambo la msingi
Pata muda wa mazoezi
Pata muda saa hii wa kupumzika
Pata muda wa kusoma vitabu
Epuka marafiki ambao unahis Ni mzigo kwako au wanaviashiria vya kukufanya uwe na hasira
Mtu akikukwaza muda huo mueleze hisia zako usikae na jambo litakufanya ufikirie sana mwisho wa siku utakosa vingi
Changanyika na watu wenye muono tofauti na wew itakusaidia sana katika kubadili muono wako na akili yako.

Haya madawa yapo lakini ukiyatumia sana utajenga utegemez

Kwa mfano hapo ulipo ushajenga tatizo bila dawa hzo huwez kuwa sawa na mawazo juu na unahaha kuzipata

Haya magonjwa mengne Ni kuchange life style tu wataalamu wa afya ifikie kipind watoe elimu stahk si kumtutika mtu madawa.
Umeongea vizuri sana..... Ningekuwa mkuu wa chuo unachosoma ningekupa cheti chako leo leo usipoteze muda zaidi maana akili ya maisha tayari unayo....
 
Mm nna anxiety inaniletea panic attack
Naweza kupanic vitu ambavyo mtu mwingine anaona mbona kawaida.
Sijawahigi kwenda hosp najicontrol mwenyewe tu japo kwa shida.
Basi watu wangu wa karibu wameshanijua nikipanic wananiambia Relax....
Naweza kupanic kisa nmemtumia mtu sms kajibu sawa..kwamba sikutegemea ajibu ivyo...hapo basi ntazima adi na simu yenyewe

Mambo ni mengi wakuu/ila Tunapambana tu
Pole sana mpendwa unatakiwa tu upate mtu akulambe makofi mawili kila unapopanic
 
MKUU WIFE ALIKUWA ANASHIDA KIDOGO YA MIMBA KUTOKA SO DR AKASEMA IKIFIKA MIDA YA HATARI ATATUAMBIA LINI WAKATI WA KUKUTANA MAANA ALIKUWA NAYA MONITOR MAYAI YAKE ILIKUWA KILA BAADA YA SIKU MBILI AU TATU ANAFANYA ULTRASOUND
Hawa wanawake ambao mnakutana nao wameshafika miaka 25+ muwachunguze mienendo yao huko nyuma. Wengine wanameza haya ma P2 kwa muda mrefu kama wanameza panadol matokeo yake haya madawa yanabakia katika mfumo wa uzazi yana reject kila ujauzito unapotunga. Hadi mwili uje uake sawa miaka 45 hiyo hapo......

Kuweni makini sana.....
 
Umeongea vizuri sana..... Ningekuwa mkuu wa chuo unachosoma ningekupa cheti chako leo leo usipoteze muda zaidi maana akili ya maisha tayari unayo....
Mkuu mm na miaka kadhaaa 16 nilishamaliza chuo Niko napambana tu
 
Depression

Angalia mkuu,madawa mengi ya Psychiatric yana side effects,uko depressed unakula sana kwa sababu uko depressed,unaongeza weight unakua tena depressed sababu ya weight halafu unakimbilia madawa..yanayokufanya ule tena...don't get trapped in this cycle.mkuu...as I said Fanya unaloweza..sio kukimbia anti-depressants
 
Ahsante mkuu kwa ushaur ,japo mm upande wangu nimeona faida zaidi kuliko hasara, most of the tym zinanifanya nakua calm sana na confidence ya kutosha.
 
Ahsante mkuu kwa ushaur ,japo mm upande wangu nimeona faida zaidi kuliko hasara, most of the tym zinanifanya nakua calm sana na confidence ya kutosha.

Mkuu work out linalokufanya upate depression,au umeamua utatumia hizo dawa for life?
 
Trauma

Back
Top Bottom