Dawa ya vumbi la Kongo ni hatari kwa afya?

Ukitumia vibaya hii vumbi la kongo basi itakudhuru wakati wa kutoa mbegu za kiume kipindi unapopata raha wakati wa kufika kileleni kwa upande wa wanaume,
Madhara yake ni kwamba pale unaposikia raha isiyo na kifani na ukahisi mbegu za kiume kutoka badala yake hutoka upepo mfano wa tairi kuisha upepo, ama inaweza ikatoa mapovu mepesi badala ya mbegu husika za kiume. Kuweni makini sana vijana na watumiaji wengine kwa ujumla.
Usije uka hatarisha maisha yako.
Huo upepo ukitoka una madhara gani?
 
Story za vumbi la Congo nowdays zina trend kuliko kawaida lkn cha ajabu sijawahi kulitia machoni ilo vumbi lenyewe bali naliskia in social media...!! Nina maswali kadhaa kwa watumiaji / washuhudiaji ama wauzaji...!!

1) Vumbi la kongo lina rangi gani?
2) Texture yake ikoje?
3) Ni kweli vumbi natural ama ni chemical za viwandani?
4) Lina effect gani kwenye dushe ? /Malengo yake mwilini hasa ni yapi
5) Matumizi yake yakoje?
6) Ni dawa ya kienyeji ama iko well packed?
7) Masharti ya matumizi yana husiana na matambiko ama ni kawaida tu kama unavyokula mikongoraa?
8) Ni kweli inatokea Congo/ asili yake ni kongo?
9) Wauzaji ama wasambazaji wa hili vumbi ni kina nani?

Majibu tafadhali, msiponijibu bhas itabidi nianzishe special thread kwa ufafanuzi zaidi.
Mkuu mie ngoja niwe mkweli nishawahi tumiaga aisee kweli ni mti shamba from congo dusheee linasimama dede na unaweza usikojoe kabisa kichwa cha mb** kinakuwa full ganzi .hii haifai kwa mkeo ni adhabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
without dawa nauwezo huo! kama kuna dem aamin anitafute
pili wew jamaa utatumia dawa mpaka lin siku ukikosa siuta kuwa shoga au ndo wake zenu tuna wa saidia kuwakaza
STAY UR ARE BRO


Sent using Jamii Forums mobile app
 
vumbi la kongo ni nomaaa, jamaa wa ofisini kwetu alikuja nalo na akaopoa demu, jamaa anadai alipiga bao 13 hadi asubuhi, ila cha moto alikiona kwani anadai njaa ilimuuma kama mtoto na kesho yake alishindwa kwenda job kwa uchovu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna rafiki yangu juzi juzi alinipa dawa asili ya mti ni vumbi toka Kongo akaniambia nikifa faragha na mwenza wangu nichukue kidogo afu napaka na mate kwenye kichwa cha dushelele alafu naendelea na shughuli zangu.

Sasa ilifika wakati mwenza wangu tukaingia faragha yaani nilishangaa ile hali nilikua nasikia raha ya ajabu cha kushangaa sifiki kileleni mwenza kafika mara3 mimi bado ilichukua masaa 3 ndo napizi nilisikia kitu kinatoka mgongoni mpaka nilipiga kelele kwa utamu, nilihangaika kupata la pili halikutoka aisee.

Nataka kuuliza hivi linaweza kuwa na madhara?
Wengi hapo hata hawalijui vumbi la kongo. Huyu hapa ndo anaonekana analijua hili vumbi kwa ufasaha. Kuhusu madhara nijuavyo mimi kama hauko fiti dushe linaweza lisiamke kabisaa. Vumbi sio jerk tena inapunguza urijali maana inapoteza kabisa hisia ili kupunguza ile hali ya kulimwaga haraka haraka. Sasa mwenzangu na mimi kama dushe lako hadi lipigwe hendeli ndo lishituke usijaribu kabisaaa utaumbuka. Hii inatufaa akina naniliu ukiona tu chupi imeanikwa kwenye kamba tayari dushe linaamka au ukiona tu bango limeandikwa Guest house yaani gesti huhitaji hendeli hapo hapo chuma chikoli mwoto
 
Vumbi la kongo ni kama spray yenyewe huwa ukianza kutumia basi uume hautasimama bila hivyo na kumbuka tu kwa mwanaume sio kila wakati huwa unataka usimamishe ili ufanye mapenzi wakati mwingine unasimamisha tu kama kipimo cha afya na uchangamfu wa mwili ukiikosa hiyo hali utakuwa dhaifu sana please n please again acheni kabisa hayo mambo kaa kifuani kwa binti kwa 20 up to 30 minutes unakuwa poa kabisa rudia mara nne au tano inatosha kwa msichana ambae mnapendana hatataka zaidi ya hapo kwani mapenzi ni zaidi ya ngono kuna kuongea na kula na mengine mengi
Kula tu vyakula vya kawaida basi kama ni shida sana kula asali karanga maziwa nazi tikiti mbona uume unakuwa kama mbao asubuhi kuliko hayo mavumbi
Na muache nyeto

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom