Dawa ya vumbi la Kongo ni hatari kwa afya?

Vumbi la kongo ni kama spray yenyewe huwa ukianza kutumia basi uume hautasimama bila hivyo na kumbuka tu kwa mwanaume sio kila wakati huwa unataka usimamishe ili ufanye mapenzi wakati mwingine unasimamisha tu kama kipimo cha afya na uchangamfu wa mwili ukiikosa hiyo hali utakuwa dhaifu sana please n please again acheni kabisa hayo mambo kaa kifuani kwa binti kwa 20 up to 30 minutes unakuwa poa kabisa rudia mara nne au tano inatosha kwa msichana ambae mnapendana hatataka zaidi ya hapo kwani mapenzi ni zaidi ya ngono kuna kuongea na kula na mengine mengi
Kula tu vyakula vya kawaida basi kama ni shida sana kula asali karanga maziwa nazi tikiti mbona uume unakuwa kama mbao asubuhi kuliko hayo mavumbi
Na muache nyeto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huuu Ndio ukweli wenyewe
 
Ukitumia vibaya hii vumbi la kongo basi itakudhuru wakati wa kutoa mbegu za kiume kipindi unapopata raha wakati wa kufika kileleni kwa upande wa wanaume,
Madhara yake ni kwamba pale unaposikia raha isiyo na kifani na ukahisi mbegu za kiume kutoka badala yake hutoka upepo mfano wa tairi kuisha upepo, ama inaweza ikatoa mapovu mepesi badala ya mbegu husika za kiume. Kuweni makini sana vijana na watumiaji wengine kwa ujumla.
Usije uka hatarisha maisha yako.
 
Kitu cha Congo kina madhara. Nilimsikia daktari mmoja anasema unapotumia ile kitu mishipa ya dushee inakuwa forced kutanuka ili damu ipite kwa wingi na kwa speed. Matokeo yake ukizoea sana kuna siku utakosa hisia kabisa na mashine haitakuwa ikisimama tena. Japo haijulikani hilo baa litakufika lini, ni bora kuepuka na kutafuta njia salama na natural za kulast long enough.

Hiyo raha unayopata sasa na kuonekana kidume (kukomaa 3 hrs) huko mbeleni mashine itakuja kuwa rojo kama mrenda na utaishia kuwa unawashikashika watoto wazuri huku ukilalama "enzi zangu buana, nilikuwa nomaaa"
Ahaahaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Htr sn. Ikija na ile inaitwa mchanga toka Malawi utanunua pia!
 
Kitu cha Congo kina madhara. Nilimsikia daktari mmoja anasema unapotumia ile kitu mishipa ya dushee inakuwa forced kutanuka ili damu ipite kwa wingi na kwa speed. Matokeo yake ukizoea sana kuna siku utakosa hisia kabisa na mashine haitakuwa ikisimama tena. Japo haijulikani hilo baa litakufika lini, ni bora kuepuka na kutafuta njia salama na natural za kulast long enough.

Hiyo raha unayopata sasa na kuonekana kidume (kukomaa 3 hrs) huko mbeleni mashine itakuja kuwa rojo kama mrenda na utaishia kuwa unawashikashika watoto wazuri huku ukilalama "enzi zangu buana, nilikuwa nomaaa"
Mkuu nashida na wewe PM
 
Story za vumbi la Congo nowdays zina trend kuliko kawaida lkn cha ajabu sijawahi kulitia machoni ilo vumbi lenyewe bali naliskia in social media...!! Nina maswali kadhaa kwa watumiaji / washuhudiaji ama wauzaji...!!

1) Vumbi la kongo lina rangi gani?
2) Texture yake ikoje?
3) Ni kweli vumbi natural ama ni chemical za viwandani?
4) Lina effect gani kwenye dushe ? /Malengo yake mwilini hasa ni yapi
5) Matumizi yake yakoje?
6) Ni dawa ya kienyeji ama iko well packed?
7) Masharti ya matumizi yana husiana na matambiko ama ni kawaida tu kama unavyokula mikongoraa?
8) Ni kweli inatokea Congo/ asili yake ni kongo?
9) Wauzaji ama wasambazaji wa hili vumbi ni kina nani?

Majibu tafadhali, msiponijibu bhas itabidi nianzishe special thread kwa ufafanuzi zaidi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom