Dawa ya vumbi la Kongo ni hatari kwa afya?

Inakuaje wakuu ,Nina rafiki yangu alitumia vumbi la Kongo baada ya kuvutiwa na maelezo ya rafiki yake.

Sasa sijui alilipakaje ile mwanamke anamtaka aingize dushe lakini haisimami kabisa ikabidi mwanamke aishike shike lakini wapi iligoma kabisa.

Kuanzia siku hiyo hadi Leo dushe lake haisimami Kama miezi 7 sasa,marafiki zake waliangaika kwa maustadh lakini hakuna nafuu yoyote.

Je,tatizo ni nini? Kabla ya kutumia Vumbi la Kongo alikua fresh kabisa ila alipolitumia ndo matatizo yakatokea.
Kusimama kwa dushe na ganzi kwenye kchwa ni vitu viwili tofauti kbs... Km ni hivyo spray zisinge uzwa kwenyw pharmacy coz kaz zinayofanya ni sawa na hlo vumbi..tofauti iliyopo hapo ni mtishamba na industrial medicine..but same mechanism of action.
Over
 
Kwahiyo spray pia inaweza kutumika kulifanya tendo lidumu kwa muda mrefu same to hilo vumbi au sijaelewa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom