Ngoja nikutumie picha muda so mrefuhabar wafugaji wenzangu?
Naomben msaada, kwa anaejua dawa ya utitiri na viroboto kwenye kuku wa kienyeji.
Natanguliza shukran
Hii uliomwambia nikwajil ya vitoboto au utitir?TUMIA UTRIVENT ila tofautisha kiroboto na utitiri
Utitiri ila nimemuliza anajua tofauti yake! kiroboto na utitiri.Hii uliomwambia nikwajil ya vitoboto au utitir?
We m-BBTSS tukutane kule nyumbani.Kusanya majivu ya kutoka kwenye jiko, chimba kashimo halafu yamwage humo.
Kuku watakuwa wenyewe wanaingia na kujigalagaza humo ndani au uswahilini tunasema "wanaoga".
Utitiri na viroboto vitakimbia naturally.
Kusanya majivu ya kutoka kwenye jiko, chimba kashimo halafu yamwage humo.
Kuku watakuwa wenyewe wanaingia na kujigalagaza humo ndani au uswahilini tunasema "wanaoga".
Utitiri na viroboto vitakimbia naturally.
Sky unamaanisha?Ukisikia msiba wowote wewe nenda. Ukitoka msibani huwakuti.
He he he heWe m-BBTSS tukutane kule nyumbani.