Sumu ya kuulia viroboto

Mr. Miela

JF-Expert Member
Aug 2, 2007
1,226
2,055
Kwa wafugaji wa mbwa naombeni ushauri nitumie sumu (dawa) gani kupambana na viroboto

Nimetumia kwa nyakati tofauti na kwa ushauri wa watu mbalimbali dawa kama ticks fix, alpha dip, dawa unga ya kunyunyizia, bens attack, dawa ya kuua wadudu wa pamba sabuni ya unga na maji moto ila nakuwa kama nawapalilia yaani badala ya kupungua au kuisha ndo wanazidi kunenepa.

Kuna shida kwenye dawa tunazosambaziwa au ni viroboto wamekua wababe☹☹
 
Kwa wafugaji wa mbwa naombeni ushauri nitumie sumu (dawa) gani kupambana na viroboto

Nimetumia kwa nyakati tofauti na kwa ushauri wa watu mbalimbali dawa kama ticks fix, alpha dip, dawa unga ya kunyunyizia, bens attack, dawa ya kuua wadudu wa pamba sabuni ya unga na maji moto ila nakuwa kama nawapalilia yaani badala ya kupungua au kuisha ndo wanazidi kunenepa.

Kuna shida kwenye dawa tunazosambaziwa au ni viroboto wamekua wababe
Tatizo mnahudumiwa na wataalamu vishoka, nitafute.
 
Mwaga maji bandani kuondoa vumbi viroboto hukaa sana kwenye vumbi then piga dawa kali mf paranex itasaidia wataisha
 
Pole sana mkuu, viroboto wanazingua sana ila niliwakomesha kwa dawa aina ya paranex. Hakikisha unaogesha mifugo angalau kwa wiki mara moja halafu pia safisha banda kwa dawa hao wadudu watatoweka.

Pia viroboto wanazaliana sana kwenye mavumbi hakikisha unajenga banda zuri unasakafia vizuri ili iwe rahisi kufanya usafi.

Sent from my Infinix X657C using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom