Dawa ya utitiri na viroboto kwenye kuku

KAJOBO

JF-Expert Member
Sep 2, 2014
386
301
Habari wafugaji wenzangu?

Naombeni msaada, kwa anaejua dawa ya utitiri na viroboto kwenye kuku wa kienyeji.

Natanguliza shukrani.
 
Kusanya majivu ya kutoka kwenye jiko, chimba kashimo halafu yamwage humo.

Kuku watakuwa wenyewe wanaingia na kujigalagaza humo ndani au uswahilini tunasema "wanaoga".

Utitiri na viroboto vitakimbia naturally.
 
Hii ndio yenyewe hii naijua iko effective.
 
Iv juku akiangukia ubongo hupoteza maosha ? Kuku wangu bloiler alikuwa anafukuzwa na jogoo asubuhii sasa akangukia kichwa chin miguu juu kwenda kumnyanyua naona ana badilika gafla shingo nyepesi
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom