DAWA YA UPWEKE NI NDOA

DAWA YA UPWEKE NI NDOA

Mbona unaongea usivovijua..nani ana wake wanne na anachepuka!?..au mradi nadharia zako zitimie
Sijaropoka nimeongea nikiwa na uhakika na mifano ninayo kwani unadhani mimi sina ndugu au jamaa au marafiki au majirani ambao wameoa wake wanne? Ninao sana na baadhi yao wanachepuka vizuri tu
 
Unaweza ukaoa na bado ukawa mpweke,,be carefull
Ha ha ha ,imenikuta nilikua kweny relation alaf naona kam nipo na mshkj wangu kabisa ,aya mambo basi tu nikaona bora niwe certified single kabisa
 
Ukiona ndoa imedumu anzia miaka mi 5 kwenda mbele ujue kuna bwege mmoja ndani ya hiyo ndoa...YES nasema bwege kwasababu hata akikosewa yeye atakubali kujishusha na kuomba msamaha yeye.

Ndoa itadumu kama TU kuna ataekubali mwenzake awe JUU yake siku zote na muda wote ila sisi tunaotaka EQUALITY ndo zkijitahid sana ni miaka 3.

OA halafu ukutane na yule mwanamke wa kutaka USAWA yani hataki umuoneee anataka haki bin haki Lazima urudi hapa uanzishe thread kutushauri ambao hatujaoa TUSIOE.
Hawa wangese wanaoleta sijui haki sawa wameharibu saan

Kiukweli hamnaga usawa ata siku moja na ukiutafuta lazima wew uumie au nyika ndo zitaumia.
 
Sijaropoka nimeongea nikiwa na uhakika na mifano ninayo kwani unadhani mimi sina ndugu au jamaa au marafiki au majirani ambao wameoa wake wanne? Ninao sana na baadhi yao wanachepuka vizuri tu
Plain liar...una hila sana wewe mwanamke
 
Back
Top Bottom