DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,503
- 29,900
Unakuwa haujajikomoa maana unamuoa kwa lengo maalumuDadeki apo si umemkomoa na wew umejikomoa mkuu
Unakuwa haujajikomoa maana unamuoa kwa lengo maalumuDadeki apo si umemkomoa na wew umejikomoa mkuu
Nimeshakwambia usipoamini wewe haimaanishi kwamba hilo jambo halipo imani yako haibadilishi ukweli kwani ukweli utabaki pale pale uukubali uukatae hivyo basi sikulazimishi uamimi you can take it or leave it but the truth shall always prevailPlain liar...una hila sana wewe mwanamke
Basi hongera kubwa mkuuMkuu mim naweza na Nina mifano mingi saan nimefanya sema nikijielezea San ntakua kama najipamba ila tupo
Nilikuamini mkuu ila ndo wapo wachache mno kwa dunia ya sasanlimwambia mimi
Apo unajikomoa kam ulizaa naeUnakuwa haujajikomoa maana unamuoa kwa lengo maalumu
Duuh kumbe kuacha hovyo kwenu wanaume ni sifa?Kama mwanamke haumpendi muoe kisha muache.
Mimi kiukwel mwanamke akiwa mjinga(si kwa ubaya ila ni kwa kunipa heshima) kwangu basi namlipa fadhira kubwa saan ila hizi fadhira na huruma yangu ndo zinaniponza kichizi,mpk nawaza bora ningekua na moyo mgumu ila ndo siwezBasi hongera kubwa mkuu
Nani kasema kuacha mwanamke ni sifa ?Duuh kumbe kuacha hovyo kwenu wanaume ni sifa?
Huo mnaouita usawa ndivyo Mungu alivyoagiza mbona maandiko yapo wazi? Hautaki basi jichimbie kaburi ujizike maana tunajua kwa wanaume mnaopenda umalaya na ubabe kwenu ni ngumu kuumeza huo ukweli mchunguKila la heri na harakati zako za usawa
Pole mkuu wanawake wababe na wajeuri pia wapo omba tu Mungu akupe mke mwemaMimi kiukwel mwanamke akiwa mjinga(si kwa ubaya ila ni kwa kunipa heshima) kwangu basi namlipa fadhira kubwa saan ila hizi fadhira na huruma yangu ndo zinaniponza kichizi,mpk nawaza bora ningekua na moyo mgumu ila ndo siwez
Ingekuwa siyo sifa ungemshauri aoe kwa lengo la kuacha?Nani kasema kuacha mwanamke ni sifa ?
Yap ilo ndo LA msingi na vivo ivo na wanaume wapuuzi na wema wote wapo so nikumuomba mungu akuchagulie mfungwa mwema mtakaoendana uko gerezan mtakopigwa pingu zenuPole mkuu wanawake wababe na wajeuri pia wapo omba tu Mungu akupe mke mwema
Si nmekuaga dada...hasira zako peleka kwa aliyekutendaHuo mnaouita usawa ndivyo Mungu alivyoagiza mbona maandiko yapo wazi? Hautaki basi jichimbie kaburi ujizike maana tunajua kwa wanaume mnaopenda umalaya na ubabe kwenu ni ngumu kuumeza huo ukweli mchungu
Ingekuwa siyo sifa ungemshauri aoe kwa lengo la kuacha?
Amina kubwa sana mkuuYap ilo ndo LA msingi na vivo ivo na wanaume wapuuzi na wema wote wapo so nikumuomba mungu akuchagulie mfungwa mwema mtakaoendana uko gerezan mtakopigwa pingu zenu
Unatamani nitendwe? Ukweli unauma kwani lazima unijibu kaka? Hasira zako peleka kwenye maandiko siyo kwangu, Ciao.Si nmekuaga dada...hasira zako peleka kwa aliyekutenda
Sawa mkuuJaribu kufuatilia tangu tulipoanzia ili upate picha kamili ya nilichokiandika.
Naamini ukifanya hivyo ilo wazo la kuacha ni sifa litayeyuka.
Jimbo gani?Vipi lakini mkuu
Jimbo lako liko wazi ?