DAWA YA UPWEKE NI NDOA

DAWA YA UPWEKE NI NDOA

Nafi
Unadhani nin kimemfanya awe na mtazamo hasi juu ya wanaume ?
Nafikiri alikua na mtazamo wa beijing alipoingia kwenye ndoa..akakutana na mume hataki hayo mambo..wakaachana,badala ya kurudi nyuma na kuwa flexible..anakakamaza shingo kwamba hakukosea
 
Nafi
Nafikiri alikua na mtazamo wa beijing alipoingia kwenye ndoa..akakutana na mume hataki hayo mambo..wakaachana,badala ya kurudi nyuma na kuwa flexible..anakakamaza shingo kwamba hakukosea
So tupo kundi moja na Joyce Kiria ?
 
I can't, yaani kuliko nichepuke mimi bora hata achepuke yeye angalau inamake sense, sijasema afanye makusudi ila angalau kwa mwanaume inamake sense japo wanaume wengi wanachepuka kwa kujiendekeza tu
Nipe sababu zinazo pelekea kwa mwanaume kuchepuka ina make sense kuliko kwa mwanamke???

Sababu kauli yako imenishangza!!!
 
Nipe sababu zinazo pelekea kwa mwanaume kuchepuka ina make sense kuliko kwa mwanamke???

Sababu kauli yako imenishangza!!!
Hivi mfano ukikuta mahusiano ambayo mwanaume anachepuka ila mwanamke hachepuki na mahusiano ambayo mwanaume hachepuki ila mwanamke anachepuka yepi utayashangaa zaidi?
 
Ha ha ha ,imenikuta nilikua kweny relation alaf naona kam nipo na mshkj wangu kabisa ,aya mambo basi tu nikaona bora niwe certified single kabisa
Umeona sasa ,ayaa mambo bhana,yaache kama yalivyo mkuu
 
Back
Top Bottom