MKAKA HALISI
JF-Expert Member
- Dec 5, 2018
- 704
- 1,390
Kwasababu yeye ndio ameoa na sio kuolewaSawa umesema pesa haimfanyi mwanamke kuwa juu ya mwanaume ila naomba nikuulize swali kwani ni kipi kinachomfanya mwanaume kuwa juu ya mwanamke?
Kwasababu yeye ndio ameoa na sio kuolewaSawa umesema pesa haimfanyi mwanamke kuwa juu ya mwanaume ila naomba nikuulize swali kwani ni kipi kinachomfanya mwanaume kuwa juu ya mwanamke?
Wanaume wanao saliti na kunyanyasa wake zao hawajitambui na hawajielewi and vise versaLakini kumbuka maandiko yamesema mwanaume atakula kwa jasho lake? Haya sawa haina shida inawezekana kabisa mwanamke akafanya hayo majukumu yote lakini je mwanaume una uhakika kwamba kweli unastahili kufanyiwa yote hayo na mkeo yaani kwamba haumsaliti wala haumnyanyasi?
HahahahaUsikubali huyo... atakuinamisha halafu akusweke...
Umeona mbali!
Ingawa pia ina athari...
Unajua sifa za mtu aliyeoa?Kwasababu yeye ndio ameoa na sio kuolewa
Mmhh sasa mbona kama unawaongelea wanaume wote? Maana wanaume mnasemaga wenyewe kuwa hakuna mwanamke asiyechepukaWanaume wanao saliti na kunyanyasa wake zao hawajitambui na hawajielewi and vise versa
Bora umuacha mke au Mume kuliko kusaliti na kumnyanyasa
Wanaume wanao saliti na kunyanyasa wake zao hawajitambui na hawajielewi and vise versa
Bora umuacha mke au Mume kuliko kusaliti na kumnyanyasa
Nimemaanisha mnasemaga kuwa hakuna mwanaume asiyechepukaMmhh sasa mbona kama unawaongelea wanaume wote? Maana wanaume mnasemaga wenyewe kuwa hakuna mwanamke asiyechepuka
Chanzo kipiNdoa haiwezi kuwa mbadala wa upwekeeeee... Tafuteni chanzo kingine
Hata usiwa amini hao wanaosema hivyo .wanaume tumetifsutiana kama nyie wanawake mlivyo tofauti ..sio wote wako interested na kuchepuka .trust meMmhh sasa mbona kama unawaongelea wanaume wote? Maana wanaume mnasemaga wenyewe kuwa hakuna mwanamke asiyechepuka
Kuchepuka ni tamaa za mtu tu .hata wanawake wanachepuka sana sema huwa semi hadharani..alafu wanavyosema mwanaume lazima achepuke hizo ni story tu za jf usiziamini sababu unaweza ukakutatana na mwanaume anaekupenda kweli akajilinda asichepuke alafu wewe uka mdharau kwa sababu ya uaminifu wake .kwa sababu ulisoma kauli za jf kuwa lazima mwanaume achepukeNimemaanisha mnasemaga kuwa hakuna mwanaume asiyechepuka
Ni kweli ila ni wachache sana kama huyu niliyenayeHata usiwa amini hao wanaosema hivyo .wanaume tumetifsutiana kama nyie wanawake mlivyo tofauti ..sio wote wako interested na kuchepuka .trust me
Ndiyo na hizo kauli ndo zinawaponza wanaume wengi wanakuja kujitutumua humu kuwa wanaume wote wanachepuka na wanataka wanawake wote tuamini hivyo sasa wanawake tukiamini kweli na tukiingia na mawazo hayo kuwa kila mwanaume anachepuka halafu tusipowaamini kwenye mahusiano mnasema hatupendekiKuchepuka ni tamaa za mtu tu .hata wanawake wanachepuka sana sema huwa semi hadharani..alafu wanavyosema mwanaume lazima achepuke hizo ni story tu za jf usiziamini sababu unaweza ukakutatana na mwanaume anaekupenda kweli akajilinda asichepuke alafu wewe uka mdharau kwa sababu ya uaminifu wake .kwa sababu ulisoma kauli za jf kuwa lazima mwanaume achepuke
Hongera kwa kumpata huyo wako mwaminifuNi kweli ila ni wachache sana kama huyu niliyenaye
kipepe acha zako, leo porini hujapata windo nn mbona povu sana ? alafu comrade kipepe hana kitanda analala nyikani.It's comrade, a.k.a The man himself! A.k.a Mfalme wa Nyika, Namba 9 mgongoni mshambuliaji hatari.
Ni kwa Mara nyingne teeena mbele ya upeo wa mboni yako, ninarindima hapa jamviniii
Anaandika KIPEPE....
******-
Aseeee nipo kitandani hapa mida hiii nawaza umri unasonga natamani namimi nipate mke aseee
Mtanda wote huuu sita kwa sita najibilingilisha tuu mithili ya panya aliekunywa sumuuuu, ungekuta midaa hiii nipo na mke halali hapa tunayajenga yetu ya familia..
Duuuuh asee tuoeni vijana tuache uzinzi yani Mimi nikipata wife material naoaaaaa, kama una unaempenda oaneni tuu msisubirie sana halalisheni ndoa na Mungu awabariki sanaaaa
Ohhoooo
Ndiio mwisho hapooo
Fyaaaaa kama Bomu la nyukliaaa yuleeeeeeee
wapo jaribu kuchunguza kama yule MC aliyelia sasa huyo ndani atakuwa aje ?Sema hivi mwanamke akiwa bwege ndo ndoa inadumu kuna mwanaume anakubali kuwa bwege kwenye ndoa kweli?
I can't, yaani kuliko nichepuke mimi bora hata achepuke yeye angalau inamake sense, sijasema afanye makusudi ila angalau kwa mwanaume inamake sense japo wanaume wengi wanachepuka kwa kujiendekeza tuHongera kwa kumpata huyo wako mwaminifu
Lakini usije kuchepuka(jokes)
Wanaume bwanawapo jaribu kuchunguza kama yule MC aliyelia sasa huyo ndani atakuwa aje ?
Jina tu..unaninyanyapaaUsikubali huyo... atakuinamisha halafu akusweke...
Umeona mbali!
Ingawa pia ina athari...