DAWA YA UPWEKE NI NDOA

DAWA YA UPWEKE NI NDOA

It's comrade, a.k.a The man himself! A.k.a Mfalme wa Nyika, Namba 9 mgongoni mshambuliaji hatari.

Ni kwa Mara nyingne teeena mbele ya upeo wa mboni yako, ninarindima hapa jamviniii

Anaandika KIPEPE....
******-
Aseeee nipo kitandani hapa mida hiii nawaza umri unasonga natamani namimi nipate mke aseee

Mtanda wote huuu sita kwa sita najibilingilisha tuu mithili ya panya aliekunywa sumuuuu, ungekuta midaa hiii nipo na mke halali hapa tunayajenga yetu ya familia..

Duuuuh asee tuoeni vijana tuache uzinzi yani Mimi nikipata wife material naoaaaaa, kama una unaempenda oaneni tuu msisubirie sana halalisheni ndoa na Mungu awabariki sanaaaa

Ohhoooo
Ndiio mwisho hapooo

Fyaaaaa kama Bomu la nyukliaaa yuleeeeeeee
Oeni tuje vaa vijora sie
 
Unaweza ukawa kwenye ndoa na ukawa mpweke kuoitiliza.
 
Shauri zenu, tutaanguka!!
Screenshot_20190627-092203~2.jpeg
 
Shauri zenu, tutaanguka!!View attachment 1140813
ndio mana sipeleki dem nyumbani kwangu...yule ninae hisi nampenda kupita maelezo ntampeleka hotel safiiiiii yenye hadhi yake...Akianguka namuacha hapo nafanya utaratibu mwingine wa kuhama nchi.

Kesi ya mauaji sio kesi Tanzania ya leo...mpk uje ugundulike hukumuua wewe aseee umesota JELA miaka si chini ya mi 2+
 
Ukiona ndoa imedumu anzia miaka mi 5 kwenda mbele ujue kuna bwege mmoja ndani ya hiyo ndoa...YES nasema bwege kwasababu hata akikosewa yeye atakubali kujishusha na kuomba msamaha yeye.

Ndoa itadumu kama TU kuna ataekubali mwenzake awe JUU yake siku zote na muda wote ila sisi tunaotaka EQUALITY ndo zkijitahid sana ni miaka 3.

OA halafu ukutane na yule mwanamke wa kutaka USAWA yani hataki umuoneee anataka haki bin haki Lazima urudi hapa uanzishe thread kutushauri ambao hatujaoa TUSIOE.
 
Na hilo ndo tatizo hivi kwani kuna ubaya gani kila mmoja akamuomba msamaha mwenzie pale anapomkosea kwanini mmoja tu ndo anataka aombwe msamaha yeye kila siku hata kama yeye ndo kakosea?
 
Na hilo ndo tatizo hivi kwani kuna ubaya gani kila mmoja akamuomba msamaha mwenzie pale anapomkosea kwanini mmoja tu ndo anataka aombwe msamaha yeye kila siku hata kama yeye ndo kakosea?
sasa Edelyn tufanye mimi ndio nimekosea,unaweza niomba msamaha wewe ili kuokoa jahazi la ndoa yetu? Assume umenifumania red handed...Okoa jahazi tusiachane hapo..

Mimi ukniuliza kwann nmefanya hvyo ntajitetea nmelipizia kipnd kileee na wewe ulivyonfnyiaga ktu flan...jiweke hapo kati kati Mtihani huo unau faulu vipi kunusuru hii ndoa?
 
Sema hivi mwanamke akiwa bwege ndo ndoa inadumu kuna mwanaume anakubali kuwa bwege kwenye ndoa kweli?
wapo kabisa..ila isizidi sasa in nature mwanaume hupenda kuheshimika maana anafanya vingi ndani ya familia kukuzidi hata wewe mwanamke sasa kutaka kila siku mimi ndio niwe bwege n ngumu kdg...nitoke kazini navuja jasho kuwatafutia chakula nafika nyumbani hata hamna chakula mezani,maji ya kuoga sijawekewa..kla siku niwe bwege tu?

Ngumu kidogo hapo...
 
sasa Edelyn tufanye mimi ndio nimekosea,unaweza niomba msamaha wewe ili kuokoa jahazi la ndoa yetu? Assume umenifumania red handed...Okoa jahazi tusiachane hapo..

Mimi ukniuliza kwann nmefanya hvyo ntajitetea nmelipizia kipnd kileee na wewe ulivyonfnyiaga ktu flan...jiweke hapo kati kati Mtihani huo unau faulu vipi kunusuru hii ndoa?
Sasa hapo ndipo ninapoamini kuwa kwenye ndoa mwanaume akikosea basi anatakiwa asamehewe na avumiliwe ila mwanamke akikosea basi anatakiwa apigwe, asalitiwe, aachwe au aongezewe mke na kwanini iwe hivyo? Kwanini wote mnapokoseana msisameheane na msivumiliane? Kwanini umlipizie?
 
wapo kabisa..ila isizidi sasa in nature mwanaume hupenda kuheshimika maana anafanya vingi ndani ya familia kukuzidi hata wewe mwanamke sasa kutaka kila siku mimi ndio niwe bwege n ngumu kdg...nitoke kazini navuja jasho kuwatafutia chakula nafika nyumbani hata hamna chakula mezani,maji ya kuoga sijawekewa..kla siku niwe bwege tu?

Ngumu kidogo hapo...
Kwa ndoa ambazo mwanaume anafanya majukumu mengi kuliko mwanamke huyo sawa hastahili kuwa bwege haya vipi kwa zile ndoa ambazo mwanamke ndo anafanya majukumu mengi kuliko mwanaume?

Yaani mwanaume anatafuta pesa na kuhudumia watoto tu ila mwanamke anatafuta pesa anahudumia watoto anafanya kazi za nyumbani na analea watoto hapo napo mwanaume anastahili heshima kweli? Maana ndoa za aina hiyo ndo zipo nyingi siku hizi
 
Ukiona ndoa imedumu anzia miaka mi 5 kwenda mbele ujue kuna bwege mmoja ndani ya hiyo ndoa...YES nasema bwege kwasababu hata akikosewa yeye atakubali kujishusha na kuomba msamaha yeye.

Ndoa itadumu kama TU kuna ataekubali mwenzake awe JUU yake siku zote na muda wote ila sisi tunaotaka EQUALITY ndo zkijitahid sana ni miaka 3.

OA halafu ukutane na yule mwanamke wa kutaka USAWA yani hataki umuoneee anataka haki bin haki Lazima urudi hapa uanzishe thread kutushauri ambao hatujaoa TUSIOE.
like charge repel,unlike charge attract each other

Hyo ndio ndoa mkuu,ndoa mkiwa wote mna aina ya mambo ya kufanana hamdumU.

Ndoa mkiwa wote mna sauti ndani haidumu,ndio maana dini ikasema mume amtii mumewe(kama sio madhambi).

Hapo pana falsafa kubwa sana yani,mume kumtii mume katika jambo ambalo sio dhambi manake ni kuitumia ile principe hapo juu ya "unlike charge attract each other" hapo ndo pana kudumu katika ndoa.

Ila mume anataka mke asifaende kwenye sherehe,mke anasema mimi naenda.hamna ndoa.

MKe ni gubu anaongea sana na mume nsye anaongeaa sanaaa,hapo ndoa haitaenda kwa sababu tabia zinafanana.ndio maana dini ikataka mke asipaze sauTi kwa mumewe,awe mpolee

MUme anatakiwa awe na wivu kwa mkewe,lakini mke anatakiwa amuamini mumewe.
Ndoa ikikutana wote wana wivu ni balaa.
Mmoja awe na wivu mwingine awe na imani hapo ndoa itaenda
 
Kwa ndoa ambazo mwanaume anafanya majukumu mengi kuliko mwanamke huyo sawa hastahili kuwa bwege haya vipi kwa zile ndoa ambazo mwanamke ndo anafanya majukumu mengi kuliko mwanaume?

Yaani mwanaume anatafuta pesa na kuhudumia watoto tu ila mwanamke anatafuta pesa anahudumia watoto anafanya kazi za nyumbani na analea watoto hapo napo mwanaume anastahili heshima kweli? Maana ndoa za aina hiyo ndo zipo nyingi siku hizi
kwanini pesa ikufanye usiwe chini ya mume wako? Yawezekana wote mnahudumia familia lakini kumbuka hata kama ikitokea tunafanya kazi aina moja na wote ni ma manager mshahara ni mmoja ila bado tofauti ipo Edelyn unajua ipo wapi..mimi n mwanaume wewe n mwanamke..pamoja na kwamba sisi ni ma manager ila tuna BOSS wa kampuni.

Anaweza akasema Manager wewe (wife) nataka uende sehemu flani na team flani mkatoe elimu kwa wananchi halafu manager mimi (husband) wewe utaenda kijiji flani kipo kigoma kule ndani ndani untawapa team ya vijana utaenda nao mkatoe elimu kwa wana kijiji.

umeona hapo sasa...position yetu wote ni moja ila unaona majukumu yetu wanaume tunavyopewa tofatui na nyie? mwanaume ameumbiwa mateso na shida so ifike tu mahali mkubali kwamba mnapaswa kuwa chini maana pamoja na position yetu kua sawa ila mimi nimetumwa kijijini wewe umeachwa hapa hapa mjini.
 
Back
Top Bottom