umeshawahi muona mwanaume aliyechepuka akafumaniwa anavyokuaga mdogo kama pini? hata ukiamua kumpga mangumi ya uso hawezi kukurudishia...ki ufupi hutambua kua lile ni kosa wamefanya ndio mana wananyweaga kiasi kile.
SASA BASI : nyie kinachowanyima kutuzibua makofi,kutupiga kama watoto,kutupa adhabu yyte ni kitu gani? mnatufumaniaga lakini mnaishia kuongea tu na kulalamika,nani kawanyima kutupiga hata vibao kama tunavyofanyaga sisi tukiwafumania?
Hamna mwanaume anaetaka kusamehewa akifumaniwa kachepuka ila ni nyie wenyewe na huruma zenu,kwa mfano mimi nikikosea hua natamani mpenzi wangu anizabue hata KOFI ndio naonaga ananipenda nakweli kakasirika..ila nakosea hunifanyi kitu,unalalamika tuu
Mwanaume ukikosea halalamiki anakuzabua tena ipasavyo...nyie kama mnashindwa kutuadhibu tunapokosea n shauri yenu ila sisi mkikosea tunazibua tena vizuri tu...
Labda unambie ni mwanamke gani kamfumania mume wake akaamua kumuacha Jamiii ika mua attack au mume akamfata akamlalamikia kwanini umeniacha...HURUMA ZENU ndio zinawaponza..wanaume wako real ila nyie mnakerwa mnakasirika badala muonyeshe hisia kwa vitendo mnaongea tu..
kwenye swala la adhabu tusilalamikiane ni uzembe wenu wenyewe.