Exaud J. Makyao
JF-Expert Member
- Nov 30, 2008
- 1,518
- 22
Kuna watu wanapendelkeza kuwa dawa ya kumaliza ufisadi Tanzania ni nchi hii kutawaliwa kidikteta.
Mimi sijui kama hii ni kweli au la.
Mimi Nadhani ili kuondoa ufisadi watu wenyewe ni lazima wauchukie ufisadi kutoka moyoni na kupambana nao kisheria.
Wewe wasemaje?
hahahahaha mnachekesha, watu wengine bwana, eti nchi itawaliwe kidikteta kukomesha mafisadiz.
Hapa sio jeshi wala dikteta. Huyo dikteta wenu anaweza kuwa lunatic kama Capt. Dadis Mousa Camara au Iddi Amin au akawa incompetent kama Gen. Bouzize, Col. Gadafi au akawa mwizi kama Mobutu. Au akawa competent, sawa but supressive kama Kagame.
So, swala ni kuwa na mtu anaeipenda nchi yake basi.
Historia ishaonyesha nchi zote zilizotawaliwa na madkteta hazikufanikiwa. So why need one here?? Mifano ni mingi tu, from Idd Amin, Bokassa, Mobutu etc.
Uzalendo wa kuipenda nchi ni muhimu kumbe.hahahahaha mnachekesha, watu wengine bwana, eti nchi itawaliwe kidikteta kukomesha mafisadiz.
Hapa sio jeshi wala dikteta. Huyo dikteta wenu anaweza kuwa lunatic kama Capt. Dadis Mousa Camara au Iddi Amin au akawa incompetent kama Gen. Bouzize, Col. Gadafi au akawa mwizi kama Mobutu. Au akawa competent, sawa but supressive kama Kagame.
So, swala ni kuwa na mtu anaeipenda nchi yake basi.
Athari za udikteta ziwe funzo.Watu bwana?
Madikteta mbona walikuwepo wengi
1. Milosovick
2. Nguema
3. Mobutu
4. Babangida
5. Sani Abacha
6. Amini
Unajua walichokiacha nyuma? Je, unajua ni kwa kiasi gani walitunza rasilimali za nchi zao? Unajua ni jinsi gani wananchi walivyootaabika wakati wa utawala wao?
Hofu ya Mungu ni muhimu.Kweli kabisa ila tuwe na mtu mcha mungu na awapende wananchi wote bila ubaguzi wa aina yoyote. Huu siyo waraka.
dawa ni kukiondoa hichi kizazi cha ufisadi kilichopo madarakani KAMA KILIVYO.kuingiza system mpya,kutunga sheria mpya (AMBAZO ZITAKUWA VERY HURSH DHIDI YA WIZI/UFISADI NA KUZITEKELEZA),kama serikali za nchi za ASIA vile wanafanya.(china)Geoff,
Dawa ni ipi?
Dawa ya ufisadi?hiyo si dawa ya ufisadi!...
Inaelekea wenye mawazo hayo wana dosari katika ufahamu wao kuhusu maana ya UFISADI. Ufisadi kwa Kiingereza ni Corruption, ikijumlisha matumizi yote mabaya iwe rasilimali,uongozi nk.
Hili neno lina asili yake,turejee kwenye asili ya neno ili tuipate maana halisi ya UFISADI,NDIPO TUWAJUE MUFSIDUUNA yaani Wanaofanya Ufisadi ni akina nani?
Kwa kifupi, hata UDIKTETA ni aina ya ufisadi kwa maana iliyozoeleka ya UDIKTETA.
Hivyo basi, hatuwezi kuondoa ufisadi kwa kuleta ufisadi mwingine!
Hayo ni maoni yangu, sijui wewe mwenzangu.
dictatorship - a form of government in which the ruler is an absolute dictator (not restricted by a constitution or laws or opposition etc.ok.
Mimi sijui udikteta ni nini kwa definition.
Nisaidieni.