🤣🤣🤣🤣🤣 kwahio unataka ule hela ya mwanaume mwenzio kwa kumuweka wife wako kama Chambo.mkuu hebu tumjaribu my wife nikupe namba umtumie hiyo laki 2. tuone kama atachomoa maana anavyojidai kunipenda....
Ukiwa muhongaji Sana ukawii kulost. Mabaga Fresh said this in 2000Ukipewa namba na mtu mwingine ili kuepuka swali hili la kizushi (namba yangu umetoa wapi?) chakufanya mtumie muamala mfano 200,000/-
Baada ya dakika chache mpigie na kwa upole mwambie kuwa umekosea kutuma hela ukatuma kwenye namba yake. Mwambie unaomba akurudishie ILA katika hio 200,000 akurudishie 100,000 tu iliobaki abaki nayo kwa usumbufu uliotokea. Then harakati unaanzia hapo hachomoi huyo
Kwa kufanya hivi unakuwa umeonesha wewe ni mstaarabu na sio mbahili,sifa hizi zinawavutia Sana dada zetu
KwakweliWhy utumie laki mbili kufahamiana tu na mtu?
mwambie tu ukweli nimeipata namba yako sababu nilikua nna shida kubwa ya kufahamiana na wewe
Akikataa..huwezi jua kitu gani kimekuepuka
Naomba namba yako mremboHilo swali majibu yake ni rahisi sana! Kuwa mkweli inatosha!
Binafsi hilo swali siliulizagi, ila kama akiamua kusema mwenyewe aseme tuu!
Nice!Kuna stages inabidi uchukulie wanaokukataa ndo wanaopata hasara
hutakiwi kuogopa rejection
watu wengi hawajui kuitambua almasi wakiiona
Njoo chukua mkakaNaomba namba yako mrembo
@PRONDO wajinga ndiyo waliwao papuchi zoote hizi ununue papuchi kwa bei kubwa hivi.Ukipewa namba na mtu mwingine ili kuepuka swali hili la kizushi (namba yangu umetoa wapi?) chakufanya mtumie muamala mfano 200,000/-
Baada ya dakika chache mpigie na kwa upole mwambie kuwa umekosea kutuma hela ukatuma kwenye namba yake. Mwambie unaomba akurudishie ILA katika hio 200,000 akurudishie 100,000 tu iliobaki abaki nayo kwa usumbufu uliotokea. Then harakati unaanzia hapo hachomoi huyo
Kwa kufanya hivi unakuwa umeonesha wewe ni mstaarabu na sio mbahili,sifa hizi zinawavutia Sana dada zetu
😂😂😂😂Dogo, wapya wanazaliwa kila siku. Hivi hujui bado kuna watu wanaingia mtego wa 'tuma namba hii?