Dawa ya swali 'Namba yangu umeitoa wapi?'

100,000 sawa na Mifuko sita ya cement hapo mpaka inafika site na misumari ya bati nusu kilo.
 
Upo sahihi kabisa mkuu
Why utumie laki mbili kufahamiana tu na mtu?
mwambie tu ukweli nimeipata namba yako sababu nilikua nna shida kubwa ya kufahamiana na wewe

Akikataa..huwezi jua kitu gani kimekuepuka
 
Mimi huwa nawaambia nimetoa kwenye gazeti no yako mwisho wa siku namvua pichu nakula apple
 
Watu mna shida sana humu Duniani looooh!

huko siendagi mimi wenyewe wanakujaga na hela zao nakula. poleni m,ambulula
 
Hii ni namna nyingine ya kuingia mbet, wala hazina tofauti. Ila it's possible na inafanyika sana.

Kuna mshakiji alichukua 10k akaandika namba yake na kumpa dada, end of the day alikula mzigo bila kutumia nguvu, just 10k.
 
Mimi napenda hela ila siku zote niko na hofu na namba mpya. Kanuni yangu sina chumba kwa ajili ya watu wapya waliopotea waendako kupitia simu. Dunia ina mengi sana.
Kilishakutokea kitu ?
 
Kuna stages inabidi uchukulie wanaokukataa ndo wanaopata hasara
hutakiwi kuogopa rejection
watu wengi hawajui kuitambua almasi wakiiona
aseeee niongeze nini tena?

nauliza hivi kuna cha kuongeza hapa?

Rule number 1 : learn to overcome failure and rejection.
 
siwezi jitoa ufahamu kiasi hicho,kama ni kuku kosa acha nikukose

laki mbili yani mbili yenye sifuri 5 nikutumie tu ?? asee bora nijitoe ufahamu nilipe DSTV premium

Maana na ufujaji wangu wote nimekwamia kwenye Compact Plus.

ila eti mimi na akili zangu hizi 20 kamili nishike simu nianze kubet kutumia jitu lingine,aaaah mweeeeeeeeeeee
 
Hivi rrondo una nini lakini?
 
Hii ni namna nyingine ya kuingia mbet, wala hazina tofauti. Ila it's possible na inafanyika sana.

Kuna mshakiji alichukua 10k akaandika namba yake na kumpa dada, end of the day alikula mzigo bila kutumia nguvu, just 10k.
Haya ni mambo mageni dunia ya jf, kuna mzee (rip) tulikuwa nae kijiweni yeye nilishuhudia akiandika namba kwenye $100
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…