Ukipewa namba na mtu mwingine ili kuepuka swali hili la kizushi (namba yangu umetoa wapi?) chakufanya mtumie muamala mfano 200,000/-
Baada ya dakika chache mpigie na kwa upole mwambie kuwa umekosea kutuma hela ukatuma kwenye namba yake. Mwambie unaomba akurudishie ILA katika hio 200,000 akurudishie 100,000 tu iliobaki abaki nayo kwa usumbufu uliotokea. Then harakati unaanzia hapo hachomoi huyo
Kwa kufanya hivi unakuwa umeonesha wewe ni mstaarabu na sio mbahili,sifa hizi zinawavutia Sana dada zetu
Halafu kwanini upitie struggle zote hizo mpaka una risk hela zako kisa demu!?
Na demu mwenyewe unakuta hana kingine cha kukupa Zaidi ya UCHI.[emoji38][emoji38][emoji38] I am too reluctant now days to go through all those struggles just because of PUSSY
Tutaenda soon , Kwanza ngoja niulize KIDUKA SHOP bado kipo?!
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] huo ni mfano tuuu... Waweza tuma hata 1000 ukamwambia akurudishie 500 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaa.!!
Hapa naamini unazungumza na wale ndugu zake Kiduku, maana huyo mtanzania wa huku duniani hizo laki mbili ambazo ndo mshahara wake anaanzaje kuzichezea hivyo mkuu??
Mkuu unachoma ramani ya vita, mbinu kama hizi au zile za kutuma maua ofisini sio za kuziweka wazi hivi...
Kwa Baba Taibali
Aiseee
Kumbe ndo zako eeennhh... Sasa naelewa..... Kile ki bunch cha maua....... Hhehehehheheh
Safi kakaUkipewa namba na mtu mwingine ili kuepuka swali hili la kizushi (namba yangu umetoa wapi?) chakufanya mtumie muamala mfano 200,000/-
Baada ya dakika chache mpigie na kwa upole mwambie kuwa umekosea kutuma hela ukatuma kwenye namba yake. Mwambie unaomba akurudishie ILA katika hio 200,000 akurudishie 100,000 tu iliobaki abaki nayo kwa usumbufu uliotokea. Then harakati unaanzia hapo hachomoi huyo
Kwa kufanya hivi unakuwa umeonesha wewe ni mstaarabu na sio mbahili,sifa hizi zinawavutia Sana dada zetu
Anapigaje Block?upoteze 100k, pia unaingia risk ya kupoteza 200k yote sababu anaweza kuihamisha muda huo huo, kwa ajili ya kukwepa kuulizwa namba yangu umeitoa wapi? ok, tu assume umefanikiwa kama ulivyosema anaweza akakukataa na akakupiga block na tayari umepoteza 100k.
Hajawahi kufinyiwa kwa ndani hiyooo, ......
Hii mbinu ya kibaharia nimeikubali...na wanavyopenda pesaa...[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Yaani watu wamekomalia hio 200k utafikiri neno mfano halisomeki.
Hahahahha.. "Invest what you can afford to lose" umenikumbushaa vingi sana bro!Kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake. Umempigia mtu namba haijui atajuaje wewe pangu pakavu au don? Au miito ya simu inaonesha uwezo wa watu. Btw 200k ni mfano sio sheria kwamba ndio kiasi lazima utume. Jamaa wa Forex wanasema invest what you can afford to lose...im saying the same. Btw mtu huyu unakuwa ushamfahamu kidogo hadi umepewa namba yake na mtu anajua. Sizungumzii unatuma tu namba yoyote hata mtu hujawahi kumuona.
TayariJiandae