Dawa ya swali 'Namba yangu umeitoa wapi?'

Daah hata sijui kama bado zipo, mie nilikuwa napenda za black current.

Sema siku twendee.
Tutaenda soon , Kwanza ngoja niulize KIDUKA SHOP bado kipo?!
 
Hatimae suluhisho la muda mrefu limepatikana
 
Yule jamaa ana ford ranger, range rover,gmc list inaendelea
Mkuu fatilia kuna uzi wake fulani aliweka anatafuta fundi wa GX 110 yake amehamia Tabata ila fundi wake alikua yupo kimara nadhani upo mule JF Garage hayo magari anayasoma tu kwenye google
 
Kuna mdau mmoja hapo juu anasema kwake it worked eti cha msingi ni umfanye dada acheke.

I wish it were that simple...
Inawezekana. Haya mambo hayatabiriki. Unaweza ukajaribu sehemu unakuta hiyo siku dada kala kibuti huko yuko na majonzi. Au yuko katika mood nzuri tu na yupo yupo hana jamaa anaemuelewa, anaona kwanini asijaribu upande wa pili si unajua love can be found in a hopeless place pia.
 
Kweli kabisa...right place right time
 
Ha ha ha namba yako inabidi niipate kwa third party ambae atasisitiza nisiseme kuwa ndio kanipa hio namba
Bana weee em zuga zuga tu kivyovyote ili mradi me muamala niupate. Au nishamuagiza Atoto akupe afu ndo unipigie sasa after muamala. Muamala ndo wa muhimu
 
Bro, hii pata potea inaweza ikakuacha kwenye maumivu makali sana. Na pia vile vile inafanya kazi kwa wanawake wa kariba fulani tu.

Na hata wanaume wenye uwezo kuchezea kiasi hiki cha pesa ni wachache sana. Na wengi wao kwanza hawaangaikagi kuwapata wanawake badala yake wanawake ndio wanawatafuta wao.

Asilimia kubwa ya wanaume wanakumbana na kadhia ya hili swali ni wanaume hoe hae hae wazee wa pangu pakavu.

Na hao hata kurusha buku 5 ni inshu sembuse 200k[emoji4][emoji4].

Kiufupi hii mbinu ni kujitengenezea mazingira ya kujitapeli mwenyewe.
 
Halafu kwanini upitie struggle zote hizo mpaka una risk hela zako kisa demu!?

Na demu mwenyewe unakuta hana kingine cha kukupa Zaidi ya UCHI.[emoji38][emoji38][emoji38] I am too reluctant now days to go through all those struggles just because of PUSSY
 
Kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake. Umempigia mtu namba haijui atajuaje wewe pangu pakavu au don? Au miito ya simu inaonesha uwezo wa watu. Btw 200k ni mfano sio sheria kwamba ndio kiasi lazima utume. Jamaa wa Forex wanasema invest what you can afford to lose...im saying the same. Btw mtu huyu unakuwa ushamfahamu kidogo hadi umepewa namba yake na mtu anajua. Sizungumzii unatuma tu namba yoyote hata mtu hujawahi kumuona.
 
Vizuri
 
Vijana wasiotaka kuoa wanatakiwa kusoma hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…