Dawa ya migomo vyuo vikuu yapatikana. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dawa ya migomo vyuo vikuu yapatikana.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by tindikalikali, Jun 16, 2011.

 1. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #1
  Jun 16, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Nimesikia leo katika uchambuzi wa magazeti.. Jeshi linadai limepata dawa ya migomo, nayo ni kupita JKT kabla ya kuingia elimu ya juu. Maswali 1. Hivi hawa wamefanya utafiti na kugundua tatizo la msingi? 2. Hili suala haliwezi kuleta vurugu zaidi huko tuendako?
   
 2. k

  kalechee Member

  #2
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sasa hawa wanafunz wakptia jkt si ndo watakua sugu kabisa
   
 3. g

  gracious86 JF-Expert Member

  #3
  Jun 18, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 433
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  jkt sio suluhisho la migomo hata kidogo! Waangalie alternatives bt sio suala la jkt! It wont help for sure!
   
 4. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #4
  Jun 18, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  hivi tangu lini polisi wakafikria kutatua tatizo, wameshindwa kuzuia ajali barabarni mpaka zinatokea ajari mfululizo wiko nzima bila hata hatua moja kuchukuliwa. wakalale huko hawawezi kuwa suluhu ya matatizo ya vyuo. ****** alipoingia ndo ilikuwa moja ya ahadi zake wamuulize kashindwa nin
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Jun 18, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,465
  Likes Received: 19,847
  Trophy Points: 280
  kweli tz tuna watu wa ajabu.kwani hao wanafunzi wanaandamana tu bila sababu?
   
 6. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #6
  Jun 19, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  mambo yanavyokwenda nchi hii, ukiyafuatilia sana yanaweza kukupa uchizi.
   
Loading...