Dawa ya malaria kwa mama mjamzito

Dawa ya malaria kwa mama mjamzito

Malaria 2, ujauzito na dose ya quinine inaacha mengi kufikirika????!!!

Dawa zinatolewa kwa kuzingatia vigezo vingi, mfano
1. Hali ya mgonjwa (Clinical condition)
2. usalama wa dawa kulingana na hali ya mgonjwa (Drug safety)
3. Intensity of the infection (Kiwango/ukubwa wa athari)
4. n.k

Hivyo hatutibu kwa kuangalia intensity tu kama unavyofikiri, ati kwa kuwa anamalaria 2, basi apewe ALU

Tafuta maarifa kwanza Mkuu!
 
Mama mjamzito anapaswa kutibiwa na gynae wake. Kama anaenda clinic, alipaswa apewe dawa ya kuzuia maambukizi ya malaria.
 
My dear,quinine ni last line dose kwa malaria kwa nini kwa malaria kidogo hivyo anapewa last line?
Well binafsi nilishasumbuliwa na hivyo vidonge nikiwa praimare. Masikio hayakusikia na kihindihindi balaa. Ilibidi nipigwe sindano tu moto2012,

Tafuta maarifa kwanza Mkuu![/QUOTE]
 
My dear,quinine ni last line dose kwa malaria kwa nini kwa malaria kidogo hivyo anapewa last line?
Well binafsi nilishasumbuliwa na hivyo vidonge nikiwa praimare. Masikio hayakusikia na kihindihindi balaa. Ilibidi nipigwe sindano tu

Karibu my Dear!

I have been missing you kwa muda mrefu,

Kifupi hatuna kitu kinachoitwa last line katika matibabu
'
Tuna first line, second line, na third line, na pia katika mazingira flani flani ya kidaktari tuna kitu kinaitwa 'Drug of choice'

Hivyo basi 'medically " Quinine is the drug of choice in first trimester pregnancy" provided that there are is no contraindication to Quinine.
 
moto2012,

ETI TAFUTA MAARIFA???!!!!
Yapi zaid ya kumrudisha mgonjwa for further review???!!!
Ambapo blood slide test itarudiwa na kupata majibu mapya badala ya kuanza kupiga ramli??!!!
Mimi na wewe hatupo hapo kumuona mgonjwa na hatuna uhakika kama other causes za body aches na abdominal pain zilikuwa rulled out! !!!Na unajua nature na site ya abdominal pain inaweza kuelekeza kuwa nini kifikiriwe na kiangaliwe kwa vipimo.

Labda kwa nini wewe unadhani wengine hawana maarifa juu ya tiba???!!!
 
Ni dispensary kaka...halafu huku ambako nipo hakuna specialists, nashindwa nifanyaje kwa wakati husika!!!

Poe mkuu ni changamoto tu hiyo mchukue shemeji mrudi dispensary na awaelezee jinsi anavyojisikia,usihangaike kutafuta dawa kabla ya kuonana na wataalamu
 
Mama mjamzito anafaa kupewa quinine kwa njia ya drip na sio kwa njia ya vidonge au sindano maana inaweza leta miscarriage wahi hosp hiyo dawa waineutrilize sawa. Ila cku zote quinine ndo dawa ya wajawazito kupitia drip
 
Quinine ni dawa ambayo haipo salama kwa mjamzito.
Quinine has been assigned to pregnancy category C by the FDA. Animal studies have revealed evidence of teratogenicity. There are no controlled data in human pregnancy. Congenital abnormalities (including damage to the auditory and optic nerve) have been reported following the use of large doses of quinine for its abortifacient effect. Quinine is only recommended for use during pregnancy when there are no alternatives and benefit outweighs risk.
Adverse reactions
Quinine can adversely affect almost every body system. The most common adverse events associated with quinine use are a cluster of symptoms called “cinchonism”, which occurs to some degree in almost all patients taking quinine. Symptoms of mild cinchonism include headache, vasodilation and sweating, nausea, tinnitus, hearing impairment, vertigo or dizziness, blurred vision, and disturbance in color perception. More severe symptoms of cinchonism are vomiting, diarrhea, abdominal pain, deafness, blindness, and disturbances in cardiac rhythm or conduction. Most symptoms of cinchonism are reversible and resolve with discontinuation of quinine.
Special Senses: visual disturbances, including blurred vision with scotomata, sudden loss of vision, photophobia, diplopia, night blindness, diminished visual fields, fixed pupillary dilatation, disturbed color vision, optic neuritis, blindness, vertigo, tinnitus, hearing impairment, and deafness.

OLESAIDIMU,

Kama nimekukwaza samahani

Ila katika andiko langu, niilquote na kubase juu ya uhalali na logic/clinical/scientific evidence za matumizi ya quinine kwa malaria 2 na ujauzito, kwa mambo mengine yote tupo pamoja

Na ndo hapo nildhani ni busara kutafuta maarifa, again kama andiko langu ni kwazo kwako, samahani Mkuu!
 
TUKO PAMOJA ADRENALINE ZISITUHARIBIE CLINICAL MEETING YETU!!!!

Kama angekuwa mgonjwa wangu mie nisingeanza na quinine.!!!! Wewe partner ungeanza nayo Quinine tena per os????!!!!!Kwa indicators zipi???!!!
 
Quinine ni dawa ambayo haipo salama kwa mjamzito.

Quinine has been assigned to pregnancy category C by the FDA. Animal studies have revealed evidence of teratogenicity. There are no controlled data in human pregnancy. Congenital abnormalities (including damage to the auditory and optic nerve) have been reported following the use of large doses of quinine for its abortifacient effect. Quinine is only recommended for use during pregnancy when there are no alternatives and benefit outweighs risk.

The researchers found that malaria increased the risks of miscarriage from one in five pregnancies (in women without malaria) to one in two pregnancies.
Where women were infected with malaria but had no noticeable symptoms (asymptomatic malaria), the risk of miscarriage was one in three pregnancies.
Artemisinin-based combination therapy (ACT) is recommended by the World Health Organization as the treatment for all malaria caused by the P. falciparum species of malaria parasite – except in the first trimester of pregnancy. This is because animal studies have indicated that the drugs can be toxic to embryos.
Yet the researchers found that after first-trimester malaria treatment, the likelihood of miscarriage was similar in women treated with chloroquine (26%), quinine (27%), and artemisinin (31%). And there were no differences between the treatments in other outcomes such as stillbirth or low birth weight.

The researchers conclude: ‘A randomised trial of first-trimester artemisinin-based treatment is now needed to make firm recommendations on the safety of first-trimester malaria treatments with this class of antimalarial drug.'

By ‘Dr McGready.

Mpaka sasa, Quinine inaaminika kuwa ni dawa salama wakati wa ujauzito (1st trimester), kama kunadawa nyingine mbadala naomba iwekwe hapa ili sote tupate maarifa tufuatilia justification zake, badala ya kurely kwe sentensi kama "Quinine is only recommended for use during pregnancy when there are no alternatives and benefit outweighs risk" ambazo hazitoi suluhisho

Halafu ikumbukwe Quinine inatolewa katika dose ambayo inafikia therapeutic level tu, na sio large dose za kufikia arbotifacient dose ikiwa lengo ni kutibu na si kufanya abortion
 
Alimwambia huyo daktari wenu kwamba ni mja mzito?????

Kama ndio mrudishe kwa daktari ili ikawekwe wazi juu ya uja uzito nadhani atabadirishiwa Dawa
 
Alimwambia huyo daktari wenu kwamba ni mja mzito?????

Kama ndio mrudishe kwa daktari ili ikawekwe wazi juu ya uja uzito nadhani atabadirishiwa Dawa

Daktari anajua hilo...na yeye kasema hamna tiba nyingine ya malaria zaidi ya hiyo kwa wakati huu!!!
 
Jambo lingine ambalo lanitia hofu hizi dawa zatakiwa meza 2 mara 3 kwa muda wa siku 7...ilhali hadi sasa kameza mara 2 tu jana na leo asubuhi tu, na analalamika tumbo lamuuma!!!
 
wakati hii mimba ina mwezi 1 na nusu wakati tupo hukuhuku kijijini aligundulika ana malaria akapewa dawa hizihizi baada ya kumeza ikawa kizunguzungu na mwili kuishiwa nguvu sana mpaka ikabidi baada ya kumeza mara 3 nimwambie tu aziache na badala yake anywe maji ya kutosha sasa hii malaria imerudi tena...sijui nafanyeje ne ndiyo maaana nimegeuzia kichwa changu huku nikiamini kuna madaktari wa kunipa msaada!!!
 
Mchezo wa kukatisha dozi sio salama!!!!
Malaria ya kufuga kama hivyo itakuja kulipuka katika hali serious zaid! !!

Kuna ugumu gani wa kutafuta hospitali hata ya wilaya kama hapo ulipo panakuwa pagumu???!!
 
moto2012,

Thanks for your concern...hizi sindano zapatikana kwenye dispensaries? na hutibu malaria kwa mjamzito wa mimba changa???
 
Mama mjamzito anafaa kupewa quinine kwa njia ya drip na sio kwa njia ya vidonge au sindano maana inaweza leta miscarriage wahi hosp hiyo dawa waineutrilize sawa. Ila cku zote quinine ndo dawa ya wajawazito kupitia drip

Sasa mbona nimepewa vidonge ndugu yangu...sielewi???
 
Back
Top Bottom