mwalisa jr
Member
- Aug 18, 2015
- 50
- 18
ok haileti shida kumbe? Maana nilikuwa na mashakaMiezi mitatu anakunywa sp...
Hata Mimi nilikutwa Na malaria wakati nna ujauzito wa wk 12,Na nikapewa sp
ok haileti shida kumbe? Maana nilikuwa na mashakaMiezi mitatu anakunywa sp...
Hata Mimi nilikutwa Na malaria wakati nna ujauzito wa wk 12,Na nikapewa sp
huyo nesi alimwambia atumie, maana nipo mbali naeKama hakuwa na malaria si wanapewa mimba ikifika miezi 5?????
yap ameanza klinic, nilijua kama kunaweza kuwa na matatizo kwa kijacho maana mama hakuwa na malariaahaaaa! atakuwa ameanza clinic huyo,hivyo amepew za chanjo (vaccine) ya malaria
Nesi tena???huyo nesi alimwambia atumie, maana nipo mbali nae
SP anapewa kwa ajili ya kumkinga na Malaria na inatolewa kati ya wiki ya 20 adi 22 na wiki 28 kama sijakosea so usiwaze wapo sahihialikuwa haumwi na amepewa sp
ninachomaanisha ni kwamba kaka alienda na kadi, na daktari akaiona basi alili- consider suala ya ujauzito, na dawa inayomfaa ni SP (kama hana allergy na sulphur), hivyo usiwe na wasiwasi we muamini daktari aliyemhudumia.kadi alikuwa nayo, lkn huyo daktari alimpa atumie but alikuwa haumwi chochote
Basi hakuna tatizoalienda hospital, lkn dawa hizo aliambiwa akanunue phamacy coz pale hospital waliiashiwa
Natamani kujua kama kuna dawa nyingine nje ya quinine inayoweza kutibu ukilinganisha na hali yangu, naingiwa uoga mkubwa kutumia quinine kutokana na side effects zakeHapo ushauri nenda kwa daktari kabisa au Pharmacy na pia usome kile kikaratasi cha dawa ndani ya box la dawa
Maana si kila despenser wa dawa ni pharmacist
Utaharibiwa mimba usipokuwa makini
Nahitaji msaada wa dawa nzuri ya Malaria nitakayoweza kutumia bila madhara, nina ujauzito wa wiki 14.
Asante sana mkuuQuinine ndo dawa ambayo iko safe ktk kipindi chako chote cha ujauzito. So usiiogope kuitumia
Lakini kwa sababu mimba ina wiki 14 unaruhusiwa pia kutumia vidonge vya ALU (mseto) maana yenyewe huwa hairusiwi kutumika kwenye ujauzito wa chini ya wiki 12.
Changamoto za quinine kuzivumilia inataka moyo jamanih, kiukweli nikiziwaza najikuta nachanganyikiwaQuinine ndo dawa ambayo iko safe ktk kipindi chako chote cha ujauzito. So usiiogope kuitumia
Lakini kwa sababu mimba ina wiki 14 unaruhusiwa pia kutumia vidonge vya ALU (mseto) maana yenyewe huwa hairusiwi kutumika kwenye ujauzito wa chini ya wiki 12.