Bwana Mrefu
JF-Expert Member
- Jul 17, 2018
- 406
- 1,002
Kuna jamaa yangu mke wake alipata dalili kama hizi,,, ilikuja kugundulika ni pressureHabari wakuu mimi naitwa nickyson mkazi wa kibaha. Naomba msaada mkewangu nim mjamzito na ni mgonjwa amekua akilalamika kua kichwa kinamuuma na tumbo. pia anasikia barid kali san huku mwili unachemka sana. Na misuli ya mgongo inamuuma tumeenda zahanati wamempima malaria hana UTI Hana. Nilikua naomba mnisaidie wataalam atakua na shida gan