Mbunifu 11
Senior Member
- Mar 20, 2015
- 104
- 52
pole mamii,naamini utapata msaada humu ndani.
nimewaeleze kila kitu #chakii
alienda hospital, lkn dawa hizo aliambiwa akanunue phamacy coz pale hospital waliiashiwaHizo dawa amepewa hospital au pharmacy?
alikuwa haumwi na amepewa spAmepewa dawa aina gani? Miezi mitatu ya kwanza haruhusiwi kumeza dawa aina ya ALU kwa sababu sio safe kwenye ujauzito ila akiwa kweny 2nd na 3rd trimester anaruhusiwa kumeza ALU inakuwa safe pia inakuwa inategemea kama ni complicated Malaria au sio complecated.
kadi alikuwa nayo, lkn huyo daktari alimpa atumie but alikuwa haumwi chochotekama alipewa hospitali basi daktari alilizingatia hilo, labda kama hakuwa na kadi ya mama mjamzito au hata kujieleza tu.
Kama hakuwa na malaria si wanapewa mimba ikifika miezi 5?????kadi alikuwa nayo, lkn huyo daktari alimpa atumie but alikuwa haumwi chochote