kibogo
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 9,739
- 4,745
Huwo msemo nimeanza kuusikia siku nyingi na haubadili sema matukio ndiyo yanabadilka, wenyewe uko pale pale!
Mtafanya familia ya fulani iumbuke kwa kujipatia fedha chafu wakati ule wa kubadilisha fedha na kuingiza fedha bandia na kuzihalalisha hadi leo tunazitumia na Lowasa hataacha kulizungumzia hilo na hapo ndio Balali atawekwa wazi na ni nani alimuondoa nchini na hata kama kafa ni nani aliyemuua kwani ikumbukwe Lowasa alikuwa Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Usalama