Dawa ya Lowassa yapatikana

Dawa ya Lowassa yapatikana

Tena CCM wanapotea mbayaaa

Nape haaminiki,.muongo sana

Mwakyembe hana trust ya watu tena baada ya mabehewa feki...billions ziliibiwa...

Sitta, kachakachua KATIBA MPYA..

Nchemba ndio kakamatwa na TAKUKURA KWA RUSHWA YA UBUNGE TU...

CCM hakuna mtu wa kumpigia Magufuli kampeni...Wananchi wako macho sana, hawadanganyiki tena...

UKAWA, Lowassa ni habari nyingine...!!!
 
ukweli wa ccm leo utakuwa uwongo wenye kunuka mbele ya wa TANZANIA !!
LOWASSA NI MTU MTAKATIFU NDANI YA NAFSI ZA WATANZANIA 80% WATAKACHO ONGEA CCM MDA HUU NI SAWA NA MFA MAJI HAACHI KUTAPATAPA!!

Ni sawa na kulia mahakamani hakimu akishatoa hakumu
 
Hata kama ukawa wangeweka jiwe, binafc ningepigia kura hilo jiwe. Kufuri nae kawadanganya walim kuwa atawapa laptop kila m1. Watu tumeichoka ccm na tunataka mabadiliko tu.
 
VUTA-NKUVUTE

Kampeni.. Eee kampeni ndo tunacho taka sisi, wekeni maneno yenu, yawe ya kweli au uongo poa tu ndio SIASA. hii sisi wote tunataka, lakini inshu za vitisho, maneno kama "bao LA mkono", kuibaiba, kutumia vyombo vya ulinzi na siraha za moto nooo! No! Mkifanya hivyo tu mtalikoroga.. Tena sana aisee..! Fanyeni kampeni , UCHAGUZI HURU NA WA HAKI NA WAZI NDIO MWAROBAINI WA AMANI YETU
 
Last edited by a moderator:
Upeo wa watu humu una mashaka sana, yaani watu hawajaambiwa hata wahusika watasema nini na nini ila watu wanaanza kufarijiana kwa mawazo yanayofanana bila kutakafakari nini kinaweza kubadili hali. Nawashauri muwe mnapitia jukwaa la GREAT THINKERS.
 
Mhh!, Lowassa kawa mchafu leo kwa CCM vile kahamia upinzani? Jana akiwa CCM tena Kada, hawakuyaona hayo ! Ina maana CCM inafuga Mafisadi? Baada ya kuondoka mnayemwita fisadi " LEO "wamebaki wasafi wangapi? Sitaki kukuamini lakini kama ndiyo Mikakati, tutawauliza kwa nini aliendelea kuwa Kada wa Chama? Kwa hiyo ninyi mafuga Mafisadi? Je, asingekihama Chama hayo mgeyaibua? Kama ndiyo mlikuwa mnasubiri nini tangu hiyo kashfa iibuke hadi leo miaka isiyopungua 8!! Aluta Continua. Lowassa Raisi Wetu!!

walili jua hilo ndo maana wakamkata na hao chadema walisubiri akatwe ndo wamsafishi kwanini wasingemsafisha akiwa ccm hii nchi hakuna kitu hao viongozi wote ni walewale leo hii lowasa akishinda tutakua tumebadilisha chama ila viongozi ni walewale tu hakuna jipya
 
Hilo halisaidii hata kidogo. Upepo wa Lowassa hata ukiorodhesha madhambi yake 1000 wananchi hawakuelewi Walikwishamwamini Lowassa. CCM ije na Sera nzuri ya kusaidia jamii kama maji, Madawa Mahospitalini, Elimu, kuwezesha wananchi kiuchumi n.k.
 
VUTA-NKUVUTE

Hao wote hakuna hatammoja ana anglau chembe yamvuto wakuwafanya wananchi waamini anachoongea. Wananchi wana hasira nawatu wanafiki 1.Walioshiriki kuchakachua katiba yao. 2.Wanaojifanya kutaka kuwaaminisha kwamba Lowasa ni Fisadi, bila kutoa majibu kwanza ya ufisadi kuanzia Eppa, Meremeta, Deep green, Escrow nk. Wakati wanapotoa ufafanuzi kuhusu Reach mond, wanatakiwa kwanza watueleze wahusika wa kashfa hizo hapo juu wakowapi, nakwanini hawawataji kwanza hao. Kinyume chake tutawapuuza tu. 3.Rais Jakaya Mrisho Kikwete wkt anaingia madarakani, yeye pamoja nafamilia yake, walikuwa nimaskini wenzetu. Leo Duru zinamtaja yeye nawanae kwamba nimatajiri wakupindukia. Wakimiliki malinyingi tu nje na ndani ya nchi. Tunahitaji kupata majibu sahihi, watwambie hao wapiga debe uliotutajia Ikuru ndani yamiaka10, kumefanyika biashara gani yakuwafanya watu kutajirika kiasi hicho kinachotajwa? 4.Ktk kipindi hiki cha utawala wa Mh. Jk, tumeshuhudia wanyama wetu wakiuawa kwakasi yakutisha, achilia mbali waliouawa huko porini, bali wengine wamebebwa namadege makubwa yaliyotua ktk viwanja vyetu. Watwambie, wahusika nikina nani nawako wapi.

Hayo ndo anglau nimejaribu kukumbuka haraka haraka ndg zanguni, mwenye mengine aongezee hapa ili watakapokuja kila mmoja wetu awetayari kuomba kupatiwa ufafanuzi nawahusika wenzetu hao wapiga debe.
 
Last edited by a moderator:
Mkiulizwa Lowasa alisema fisadi ni mamlaka ya juu ya CCM mtamjibuje?

Vipi mkiulizwa CCM imeharibu uchumi wa nchi mtawajibuje wananchi?
Vipi suala la Escrow mtawajibuje wananchi?
Vipi nyumba za serikali zilizouzwa kwa marafiki wa Magufuli zitarejeshwa?
Vipi list of shame kumi waliobaki CCM bila kujitetea mtawajibuje wanachi?
Vipi dili la Magufuli aliowapiga wavuvi kipindi cha uwaziri wake?
 
VUTA-NKUVUTE

Mkuu nadhani unasahau point ya msingi, point hapa si ufisadi..Mark my words, watu wanaona ni bora huo ufisadi ufanywe na mtu wa chama chochote hata UDP lakini siyo na mtu kutoka CCM, so point hapa si ufisadi. Na hili ndilo CCM mnakosea mnadhani watu mnashindana na watu kwa moja, yaani mwe na hoja msiwe nayo issue ni kutoa CCM madarakani tu.

Usiombe kufanya ushindani na mtu aliyekata tamaa, na watu wamekata tamaa na CCM.
 
Last edited by a moderator:
NDANI YA CCM YENU,NDANI YA NAFSI ZA WANA CCM 80% WANAMSAPOTI LOWASSA !
KAZI KWELI KWELI
MWIBA KWA NJE
MWIBA KWA NDANI
KURA YA MTU IPO NAFSINI!
SIPATI PICHA EXACTLY
**
WANA UKAWA NGUVU NA JUHUDI KUBWA KABISA ZIWEKWE JIMBONI MWA NAPE
KIBAJAJI
MWIGULU
NA WALE WOTE VIMBELEMBELE
ii

Hizo statistics umezitoa wapi pimbi wewe?
 
Mkuu nadhani unasahau point ya msingi, point hapa si ufisadi..Mark my words, watu wanaona ni bora huo ufisadi ufanywe na mtu wa chama chochote hata UDP lakini siyo na mtu kutoka CCM, so point hapa si ufisadi. Na hili ndilo CCM mnakosea mnadhani watu mnashindana na watu kwa moja, yaani mwe na hoja msiwe nayo issue ni kutoa CCM madarakani tu.

Usiombe kufanya ushindani na mtu aliyekata tamaa, na watu wamekata tamaa na CCM.

Issue sio ufisadi tu...
Lowassa hana uwezo wa kuwa rais...hana utofauti na Membe..hapo bado hatujagusia suala la afya
 
1. Dr Mwakyembe kashfa ya mabehewa

2. Samwel Sitta kashfa ya kujenga Ikulu Urambo & kuchakachua katiba

3. Mwigulu Nchemba kashfa ya rushwa ipo mikononi mwa TAKUKURU

4. Lusinde kashfa ya kupiga wapiga kura wake kisa kulazimisha apigiwe makofi kwa miradi ambayo hausiki nayo.

5. Nape kashfa ya Rushwa jimbo la Mtama anatakiwa ashughulikie matatizo yake.
 
Kwa sheria mpya ya Cybercrime we jamaa unafungwa miaka kumi kabisa
 
wakileta hizo ndio watakua wamejimaliza wenyewe ni bora wakapiga kampeni zao kimya kimya maana lowassa anawajua mpaka mvunguni,
 
Hao wakadanganye familia zao kwa nn wasimpeleke mahakamani,hatudanganyiki katu,na Lowasa ndo Rais wetu.
 
Back
Top Bottom