life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,037
Ohh dadangu ilikuwa wapi na when? ee mlipitia mengi! cku hizi Neema..Umenikumbusha sisi tulikuwa tunaanika pilau kwa jua (pilau halichachi), uporo wa ndizi na wali ulikuwa unaliwa hivyo hivyo bila kupaswa; ilmradi chai ni ya moto.
duh!! kumbe i 'dodged a bullet' nilivyokataa boarding school.ukiiba unautumia kubrashia viatu au kuoshea raba...
duh!! kumbe i 'dodged a bullet' nilivyokataa boarding school.
mie boarding yangu ilikuwa pale UDSM engineeringhahaha...kaka mimi nimesoma boarding school kwa miaka sita...bahati nzuri zilikuwa ni shule nzuri kidogo...lakini vituko vituko kama hivi vilikuwa havikosekani!!!
mie boarding yangu ilikuwa pale UDSM engineering
Na huo wali (tulikuwa tunauita KITEI) tulikuwa tunaupiga siku jumanne pekee usiku. Siku hiyo ikifika, jioni utaona watu wanaandaa mabakuli makubwaa yenye mifuniko (tulikuwa tunayaita MAKAYMBA) kwa ajili ya kuhifadhia kiporo (HALF LIFE) kikibaki. Na huo wali wenyewe ilikuwa ukila lazima usinzie. Hata prepo kwa siku za jumanne ilikuwa ni nadra kuwakuta watu wakijisomea, wali tulikuwa tunauita jina jingine "Seizing Agent.". Remember sana those days..!
Mimi nilikuwa naipenda zaidi ile ya kuchemsha mahindi kwa heater...!
Heater yenyewe ukiuliza unakuta ni vijiko, kuna siku almanusura bweni liungue moto kutokana na mchezo huu.
...mafuta ya taa kibao ....
wapi tena siku za mafuta ya taa ndo watu walikuwa wanasagana balaa....usipime kabisaaHii ilikuwa kila shule, mafuta ya taa yalikuwa yanapunguza munkari wa ngono...
Kwa hii lugha uliyoitumia hapa sina shaka hata kidogo wewe utakuwa raia wa Ilboru...ila ndio sijui utakuwa ulimaliza lini
Mlitaka uunguza bweni gani Rungwe, Oldonyo, Mawenzi, Meru, Kibo, Hanang au Kilimanjaro?
Haahahaa....! Ilikuwa meru ndio lililokoswakoswa. Mkuu na wewe ulipita kipande hiyo nini.?
Hahaha...nilijua tu kama sio Meru basi ni Kibo maana enzi zetu hayo ndio yalikuwa mabweni sugu kuchemsha maji kwa heater vimeo halafu zinafichwa darini...
Nimepita hapo kaka, Rungwe, Mawenzi na Hanang ndio yalikuwa mabweni yangu kwa nyakati tofauti...ila ni kitambo kidogo!!!
wakati nasoma kuna mmoja aliwahi kumwagiwa kinyesi kilichochotwa kwenye chamber tena alikikua kiranja mkuu mnoka kama nyapara