Dawa Ya Kiranja Mnoko Shuleni

Sisi ilikua tunauchukua mzinga alafu unachekechwa, sukari inajichanganya na blue band, madaftari yanajimix na mafuta yakujipaka, nguo zote zinakua rangi moja. Lazima aombe kuachia ukiranja mkuu. Chezea tranka ww!
 
Haaaaahaaaaahaaaa hapo mnakuwa mmemweza,ila sasa nahisi unoko ndo utazidi,maanake atafura ili kurevenge.we MOLE em njoo huku uone dawa ya kiranja mnoko.
 
Last edited by a moderator:
Hahaha.. Duh.. nyie rafiki zangu noma kweli..! Hawo Viranja walipata tabu sana i guess..!! :glasses-nerdy:
 
Umenikumbusha sisi tulikuwa tunaanika pilau kwa jua (pilau halichachi), uporo wa ndizi na wali ulikuwa unaliwa hivyo hivyo bila kupaswa; ilmradi chai ni ya moto.

hahah...mlikuwa mnakula hadi pilau?...sisi hicho chakula hadi graduuu...
 
Watu8 hii ilikuwa siyo kupasha sasa; nadhani ulikuwa unapikia darasa Zima!!! Maana hiyo SANDUKU kwa size yake kakiporo ka mtu mmoja lazima kaungulie tuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…